kunena kwa lughaDownload bofya, juu, "download" ufungue makala yake usome.. Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana…
Jibu: Turejee.. Walawi 15:1 “Kisha Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, 2 Haya, semeni na wana wa Israeli, mkawaambie, Mtu ye yote atakapokuwa na kisonono kimtokacho mwilini mwake,…
Mwokozi wa ulimwengu (BWANA YESU KRISTO) atukuzwe. Bwana YESU alisema katika Mathayo 7:7, maneno yafuatayo.. Mathayo 7:7 “Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa” Na kwanini aseme hivyo??...anaendelea…
Kati ya lugha tatu ambazo zinaonekana katika uandishi wa biblia Kiaramu (Aramaic), ni mojawapo nyingine zikiwemo Kiebrania na kiyunani. Sehemu kubwa ya agano la kale imeandikwa katika lugha ya Kiebrania…
Swali: Katika Luka 19:26, kwanini Bwana YESU aseme kila mwenye kitu atapewa na yule asiye na kitu atanyang’anywa?, na kwanini isiwe kinyume chake?..kwasababu hilo ni kama jambo la kikatili, kumnyang’anya…
Bwana Yesu karibu na kuondoka alizungumza maneno haya; Yohana 14:1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana…
Jina la Bwana na Mwokozi Mkuu, YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu. Neno la Mungu linasema… Zaburi 138:2 “Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako,…
Yubile, wengine huiita yubilei, au yubilii. Ni mwaka wa hamsini (50), katika kalenda ya miaka ya kiyahudi. Mungu aliwaagiza wana wa Israeli, wahesabu miaka saba, kisha waizidishe mara saba, 7x7=49.…
Kitabu cha Matendo ya mitume hakimtaji moja kwa moja mwandishi wake, lakini tunaweza kumtambua, kutokana na utambulisho wake mwanzoni mwa waraka huo, kwamba ni LUKA. Kwasababu waraka huu aliulekeza kwa…
Kisima cha Zamzam ni nini, na ukweli wake ni upi? Angalizo: Makala hii haina lengo la kushambulia Imani Fulani, wala kushabikia Imani Fulani, pia haina lengo la kumchafua mtu yoyote, wala…