Bwana Yesu asifiwe. Karibu tujifunze neno la Mungu. Paulo ni kielelezo kikubwa sana, kwa watu walio katika dhambi leo hii, ukiyatazama maisha Paulo, utajifunza mengi sana, Yeye mwenyewe anasema hapo…
Kuna tofauti kati ya “Mwarabu” na “Mharabu”. Maneno haya mawili yameonekana sehemu kadhaa katika biblia na yana maana mbili tofauti. Tukianza na “Mwarabu”. Mwarabu au kwa wingi waarabu; ni jamii…
Ipo kanuni moja ya Mungu, ambayo ni vema sisi sote tukaifahamu. Kanuni hiyo ni kuwa Mungu huwa hafanyi mambo yote peke yake, japo anaouwezo wa kutenda mambo yote yeye mwenyewe,…
Shalom karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu.(Zab 119:105) Leo tuwatazame wanawake hawa wawili ambao tunaona Mtume Paulo,akiwataja kipekee zaidi katika…
Enzi zile za Bwana Yesu kulikuwa na makundi makubwa matatu yaliyokuwa na nguvu sana katika jamii, ambayo yalikuwa yanampinga sana vikali Bwana Yesu, tukiachalia mbali Mafarisayo na masadukayo ambao habari…
Shalom. May the name of our Lord Jesus Christ. Welcome, let us contemplate on the Word of God. Luke 13:22-27 " 22 And he went through the cities and villages, teaching,…
Matuoni limetokana na neno “kituo”. Hivyo popote lilipoonekana katika biblia lilimaanisha kituo, au vituo au kambi. Na matuo hayo au kambi hizo zinaweza kuwa ni kambi za kazi, au za…
1Wakorintho 1:26 “Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa;” Kwanini Mtume Paulo, alisisitiza kwamba…
SWALI: Je ni sahihi kwa sisi tuliookoka na tunaomtegemea Mungu kuweka walinzi kulinda mali zetu au mali za kanisa?. Kwasababu Biblia inasema Bwana asipoulinda mji yeye aulindaye akesha bure (Zab.127:1).…
Bwana YESU asifiwe sana, karibu tujifunze Neno la Mungu. Awali ya yote ni vizuri tukaweka msingi kwanza wa kufahamu nini maana ya Sabato. Sabato maana yake ni pumziko/kuacha kufanya kazi/…