DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nini maana ya ombeni kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi wala siku ya sabato?.

Jibu: Ili tupate kuelewa vizuri, tutaisoma habari hii hii katika vitabu vitatu tofauti vya Injili. Tukianza na kitabu cha Mathayo, biblia inasema… Mathayo 24:15  “Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu,…

Nini maana ya tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu?

Swali: Biblia inasema tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, maana yake nini? Jibu: Tusome. Mwanzo 1:26 “Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki…

Je watu ambao hawajasikia kabisa injili watahukumiwa?

SWALI: Watu ambao hawajasikia kabisa injili, halafu wakafa katika kutokujua chochote kuhusu Yesu, je wao huhesabika kuwa hawana dhambi? Kufuatana na andiko hili? Yohana 15:22 “Kama nisingalikuja na kusema nao,…

MWEKE SHETANI MBALI NA WEWE.

Shetani anaweza kuwekwa mbali nasi au akaondoka mbele yetu kwa namna kuu tatu. Ya kwanza ni kwa kumfukuza Ya pili ni kwa kuseta chini ya miguu yetu Na Ya tatu…

kwanini Yakobo amefananishwa na mdudu?(Isa 42:14)

SWALI: Mtumishi wa Bwana napenda kufahamu Neno hili kwenye Isaya 41:14 kwanini Yakobo amefananishwa na mdudu? JIBU: Tuanzie kusoma juu kidogo mstari wa 8 na kuendelea ili tupate picha nzuri…

Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji zilikuwaje?

Jibu: Katika agano la kale zilitolewa sadaka mbali mbali, na sadaka zote zilizotolewa zilikuwa ni lazima zifike madhabahuni pa Mungu, ili sadaka iitwe sadaka ni lazima ihusishe madhabahu. Isipohusisha madhabahu…

ITAMBUE NAFASI YA WITO WAKO.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima, karibu tujifunze maneno ya uzima, Leo tutaangalia juu ya wito, na jinsi unavyoweza kutofautiana kati ya mtu na mtu. Tusome vifungu hivi,.…

WAOMBEENI WANAOWAUDHI.

Bwana Yesu alisema.. Mathayo 5:43 “Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, 45 ili mpate kuwa wana wa…

“Kinga kilichotolewa motoni “Kinafunua nini kibiblia?

SWALI: Kwanini Yoshua aliambiwa yeye ni kinga kilichotolewa motoni? Hichi kinga kilichotolewa motoni kina maana gani kibiblia? JIBU: Kinga ni kama kijiti, hivyo inaposema kinga cha moto inamaanisha kijiti cha…

Nini maana ya “Tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii”?

Jibu: Tusome.. Waefeso 2: 20 “Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni”. Katika mstari huo yapo mambo makuu mawili ya…