Kumlingana Mungu ni Kiswahili cha zamani chenye maana ya “kumwita Mungu”. Pale mtu anapopitia jaribu, au tatizo, anapomwita au kumlilia Mungu wake kwaajili ya kupata msaada, maana yake mtu huyo…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Silaha moja kubwa ya adui ni Hofu. Na biblia inatuambia Hofu ina adhabu (1Yohana 4:18).. Leo hii tutaona adhabu kuu ya hofu ni…
Blessed be the name of our Lord Jesus Christ.Let's learn and share in the Word of life. In Romans 12:3,the Bible says; "For I say,through the grace given unto me,to…
Shalom, Biblia inasema; Luka 12:58 “Maana, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa mwamuzi, hapo njiani fanya bidii kupatanishwa naye, asije akakuburuta mpaka mbele ya kadhi; yule kadhi akakutia mikononi mwake…
Nyuma kidogo nilikuwa nadhani mtu mwenye mapepo, ni lazima yalipuke, na ikiwa hayalipuka, basi hana mapepo ndani yake. Kumbe mtazamo huu sio sahihi. Tunapaswa tujue kuwa mtu yeyote ambaye hayupo…
Mlima wa Mizeituni ni moja ya milima saba ambayo inauzunguka mji wa Yerusalemu kule Israeli . Mlima huu upo upande wa Mshariki mwa mji huo, umbali usiozidi kilometa moja, mpaka…
Tusome.. 1Timotheo 2:10 “bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu” Uchaji ni kitendo cha “kumcha Mungu”. Ni sawa na neno “Ulaji wa chakula” ni neno linalotokana…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika kujifunza maneno yale yale ya uzima ambayo yalikuwepo tangu zamani, ukweli pekee uliodumu na utakaodumu duniani kwa wakati wote. Leo…
Zamani walikuwa hawana saa za mshale, au za kukonyeza kama tulizonazo sasa hivi ili kutambua majira ya siku, badala yake walitumia njia nyingine mbalimbali zilizowasaidia kutambua saa za mchana, na…
Neno hilo tunaweza kulisoma katika kifungu hichi; Danieli 6:22 “Mungu wangu amemtuma malaika wake, naye ameyafumba makanwa ya simba, nao hawakunidhuru; kwa kuwa mbele zake mimi nalionekana kuwa sina hatia;…