Shalom, karibu tujifunze Biblia. Katika kitabu cha Mwanzo tunasoma kuhusu uumbaji..Tunasoma Mungu alimwumba Mtu kutoka katika mavumbi ya nchi, lakini Zaidi ya hayo tunaona aliumba na vitu vingine vinavyoonekana kama…
Mavyaa ni nani? Neno hilo tunalipata katika mstari huu kwenye biblia;. Mika 7:6 “Kwa maana mwana humwaibisha babaye, na binti huondoka ashindane na mamaye; na mwanamke aliyeolewa hushindana na MAVYAAYE;…
Mkatale ni nini? Mkatale ni pingu ya kufungia mtu, inaweza ikawa ya chuma, au mbao nene. Na huwa inafungwa sana sana miguuni, lakini pia shingoni au mikononi,.. Tazama picha juu.…
Shalom. Karibu tujifunze Neno la Mungu, maadamu ule mwisho unakaribia.. Kila siku tunapaswa tukumbuke kuwa wokovu ni tunu ya thamani ambayo tunapaswa tuishikilie kwa gharama zozote, wokovu kuupata ni rahisi…
Kamsa ni nini? Kamsa ni Ukelele wa habari ya moto au vita (kwa lugha ya kiingereza-Battle cries) Vifungu hivyo vinaeleza Neno hilo; Wimbo 3:8 “Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila…
Juya maana yake ni jarife, au wavu wa kuvulia samaki. Habari hiyo inapatikana kwenye vifungu hivi vya maandiko; Habakuki 1:13 “Wewe uliye na macho safi hata usiweze kuangalia uovu, wewe…
Luka 17:26 “Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu. 27 Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia…
Daawa ni madai, au mashitaka, malalamiko, au hukumu. Kwamfano pale mwenzako anapokukosea, au amekudhulumu, au amekutukana au amekufanyia jambo baya, na unataka kwenda kumshitaki , sasa hilo shitaka au madai…
Beramu ni nini? Beramu ni jina lingine la neno BENDERA. Hivyo mahali popote kwenye biblia unapolisoma neno hili basi fahamu kuwa linamaanisha bendera. Hesabu 1:52 “Na wana wa Israeli watazipanga…
SWALI: Yakobo aliposhindana na Malaika alishikwa uvungu wa paja akateguka…Naomba kujua nini maana ya kuteguka uvungu wa paja? Mwanzo 32:24 “Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka…