DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Maana ya Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia”.(Warumi 9:13)

SWALI: Je Mungu anawapenda watu wote?..Kama ndivyo kwanini alisema mahali Fulani kwamba anamchukia Esau. (Warumi 9:13) JIBU: Tusome, Warumi 9:13 “Kama ilivyoandikwa, Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia”. Chuki inayozungumziwa hapo…

KWA KUWA TUMEKABIDHIWA MAUSIA NA MUNGU.

Kuna mambo ambayo Mungu anaweza kukuagiza ufanye, ukayaona kama hayana maana yoyote rohoni,ukayapuuzia tu na ukaendelea na shughuli zako kama kawaida, hata ukawa unaendelea kumtumikia Mungu, lakini hujui kuwa machoni…

Israeli ipo bara gani?

Israeli ipo  Bara la Asia, katika ukanda wa Asia Magharibi (au ukanda wa Mashariki ya kati). tofuati na inavyodhaniwa na baadhi ya watu  kuwa Israeli ipo bara la Ulaya. Ikumbukwe…

MALAKI, NABII WA MWISHO KATIKA ISRAELI.

Nabii Malaki alikuwa ni nabii kama walivyo manabii wengine katika biblia kama nabii Yeremia, nabii Isaya, nabii Samweli, Nabii Danieli..Biblia haijaeleza maisha yake kama ilivyoelezea kwa baadhi ya manabii wengine…

MITHALI AU METHALI ZA BIBLIA

“Mithali” na “Methali” ni neno lenye maana moja.. ambalo maana yake ni kipande cha sentensi chenye kubeba ujumbe halisi wa kimaisha…Methali/Mithali zinaweza kuwa ni sentensi zenye ujumbe wa wazi au…

Kile kinara cha Taa ndani ya Hekalu la Sulemani kilikuwa kinawakilisha nini?

JIBU: Moja ya vitu vilivyokuwepo ndani ya hekalu la Mungu, ni kinara cha Taa, vingine vilivyokuwepo ni sanduku la agano, madhabahu ya dhahabu ya kuvukizia uvumba, na sanduku la agano.…

MWANAMKE ULIYEKOMAA KI-UMRI, ITAMBUE HUDUMA YAKO.

Ni kwanini wakati mwingine tunaona kama kuna mambo hayaendi sawa katika kanisa la Kristo, kwasababu tunafiri mambo yote yanatatuliwa na mchungaji, au mwalimu au mwinjilisti peke yake.. Kila kiungo katika…

JE BWANA WETU YESU ALIKUWA NI MZUNGU?

Shalom, karibu tujifunze Biblia… Nimewahi kukutana na watu kadha wa kadha ambao ukijaribu kuwaeleza tu habari za msalaba na wokovu ulioletwa na mwokozi wetu Yesu Kristo, wanasema Bwana Yesu alikuwa…

MAKEDONIA.

Makedonia ni mojawapo ya mataifa tunayoyasoma sana katika biblia, hususani katika ziara za mtume Paulo za kuhubiri injili katika mataifa. Makedonia ni taifa ambao mpaka sasa lipo, na linajulikana kwa…

NA NENO LA BWANA LILIKUWA ADIMU SIKU ZILE.

Kuna wakati Israeli ilikuwa inapitia majira tofauti tofauti, Si kila wakati Mungu alikuwa anazungumza nao, ana kwa ana au kwa kupitia manabii au waamuzi, hapana Kuna wakati Mungu alikuwa hasemi…