Mambo 5 ambayo kila mkristo anapaswa kufahamu. NJIA IMESONGA. Kuvuka ng’ambo si kurahisi kama inavyodhaniwa na wengi. Mathayo 7:13 “Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na…
Majini ni nini? Je kuna majini wazuri?, je pete za majini ni zipi? na namba za majini ni zipi?..Je kuna njia yoyote ya kupata utajiri wa haraka? JIBU: Kwanza ni…
Ukiangalia ujenzi wa kwanza wa hekalu na ule wa pili utaona kuna utofauti fulani, Kwanza ule wa kwanza uliojengwa na mfalme Sulemani, ulikuwa ni wa utajiri mwingi, ambao ulikuwa tayari…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe… Tunasoma Bwana wetu Yesu Kristo alipoanza huduma yake alianza peke yake…lakini akiwa katikati ya huduma hiyo, kama wengi wetu tunavyojua aliwatafuta wanafunzi ambao…
Shalom, Jina la Mfalme mkuu Yesu Kristo libarikiwe. Nakukaribisha katika kuyatafakari maandiko, Kama vile Paulo alivyomwambia Timotheo “Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika kusoma..”(1Timotheo 4:13)..Nasi pia tunapaswa tuonyeshe bidii hiyo hiyo…
Shalom. Karibu tujifunze Biblia, ambalo ndio Neno la Mungu, Mwanga wa njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu. Biblia inasema…Mungu anawaangazia jua lake waovu na wema…(Mathayo 5:45), na anawanyeshea mvua…
JIBU: Kuna mambo mawili ya kufahamu jambo la kwanza ni kuwa mara baada ya huu ulimwengu wa sasa kuisha, kutakuwa na utawala mwingine mpya ujulikanao kama utawala wa amani wa…
Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Bwana Yesu alisema maneno yafuatayo… Mathayo 24:23 “Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24 Kwa maana…
Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Leo tutaona kimaandiko ni jinsi gani Roho wa Mungu anavyowasaidia watu kuyaelewa maandiko. Watu wengi, wanaposoma biblia na kuona kama ni ngumu…
Pamoja na mengi tunayoweza kujifunza kwa Mariamu mama yake Yesu..lakini pia yapo mengi ya kujifunza kwa Yusufu Babaye Yesu. Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza tabia moja ya Yusufu ambayo…