“Msijisumbue kwa neno lolote;….(Wafilipi 4:6) Vita nyingine kubwa ambayo inapiganwa katika akili ya mkristo, ni vita ya hofu ya maisha,.. kwamba kesho yangu itakuwaje, nitakula nini, nitavaa nini, nitakuwa wapi…
Kwanini Bwana Yesu alisema sikuja kuleta amani duniani, bali mafarakano. Luka 12: 51 “Je! Mwadhani ya kwamba nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambia, La, sivyo, bali mafarakano. 52 Kwa kuwa tokea…
SWALI: Krisimasi ni nini, Je! ni kweli Yesu alizaliwa tarehe 25 disemba, Je ni sahihi kwa mkristo kusheherekea Krisimasi? Krisimasi au kwa lugha ya kigeni Christmas, Ni neno lenye muunganiko…
Ni nani huyo "alikuwako naye hayuko, naye yu tayari kupanda kutoka kuzimu.?" Shalom, Jina la Yesu Kristo Bwana wetu lizidi kubarikiwa daima Tunapaswa tukumbuke kuwa Kila tunapoiona siku mpya, basi…
Jina la Yesu Kristo libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wa mafunzo ya vitabu vya Biblia. Tulishapitia vitabu 15 vya kwanza, kama hujavipitia nakushauri uvipitie kwanza ili tuende pamoja katika vitabu hivi…
kisima cha maji ya uzima ni kile kile cha zamani. Hakitachimbwa kingine. Shalom, Jina la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Leo tutajifunza tena habari ya Isaka,.. kisha tuone ni…
Kwanini usitumainishwe na maneno ya uongo? Kipindi kifupi sana kabla ya Hukumu ya Mungu kuja juu ya mtu, au juu ya nchi , au juu ya ulimwengu. Shetani huwa ananyanyua…
Sauti ni sauti ya Yakobo, lakini mikono ni ya Esau maana yake ni nini? Shalom! Kama vile Zaburi 68:19 inavyosema… “Na ahimidiwe Bwana, ambaye Siku kwa siku hutuchukulia mzigo wetu;”…
Maana ya Neno "Tenzi" ni Tungo zilizokaa katika mfumo wa "Mashairi"..Kwahiyo Mashairi yote ni Tenzi...Na Tenzi zipo za aina mbili. Kuna Tenzi za Mwilini na TENZI ZA ROHONI. TENZI ZA…
Tuna wajibu wa kuombea mahali tulipo. hata kama ni pabaya kiasi gani. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia, leo tutajifunza kwa ufupi umuhimu wa kuombea nchi…