Uwe mwaminifu hata kufa... Ufunuo 2:2 “Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio,…
Kwanini karama ya Mungu ni uzima wa milele? Ukikaa chini ukajaribu kutafakari kwa umakini hili Neno UZIMA WA MILELE, utashangaa sana, wakati mwingine utajiuliza hili jambo linawezekanaje kanaje, na ukilitafari…
Litania ya bikira Maria mtakatifu ni nini?, Je Maria ni Malkia wa Malaika, Malkia wa mitume na malkia wa wakristo?. Maana ya "LITANIA" ni Mfululizo wa sala ambayo maneno yake…
JINSI YA KUJIWEKA KARIBU NA MUNGU. Hakuna kitu kinachomtamaisha Mungu kama kujiweka karibu na sisi, tunalithitisha hilo katika maandiko haya “Yakobo 4:5 Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure? Huyo…
SWALI: Tukisoma Kutoka 34:1-5 Tunaona Musa anaambiwa atengeneze mbao mbili za mawe mfano wa zile za awali. Sasa swali ni kwanini ziwe mbili na sio moja au Zaidi? Na ni…
Utauliza kuna nyimbo za wokovu?. Jibu ni Ndio! Uimbaji ni moja ya karama za Roho kama zilivyo karama nyingine, kama vile Uchungaji, Unabii, ualimu, uinjilisti n.k. Na kama vile kulivyo…
Je! katika biblia mstari huu una maana gani? ''Mizani ya hadaa ni chukizo kwa Bwana Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza’'? (Mithali 11:1)? ..Hiyo mizani ya hadaa ni ipi? JIBU: Katika…
Nifanye nini ili niifungue milango iliyofungwa mbele yangu? Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Moja ya mada inayozungumzwa na wakristo wengi hususani wa kanisa hili la Mwisho ni juu ya…
Nitamtambuaje bibi arusi wa kweli? Shalom. Ni vizuri tukafahamu kuwa katika ukristo yapo makundi matatu ya waaminio. Tukilielewa hilo itatusaidia sisi kujipima tupo katika kundi lipi. Na hatua zipi tuchukue…
Tuingie kwa kupitia mlango ulio mwembamba. Shalom. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tuyatafakari pamoja maandiko…Bwana Yesu alisema maneno yafuatayo katika kitabu cha Luka.. Luka 13:22 “Naye alikuwa…