DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

SIKU ILE NA SAA ILE.

Bwana Yesu alisema sehemu fulani maneno haya " walakini siku ile na saa ile"..akiwa na maana kuwa Kuna siku inayokuja huko mbeleni, yenye Tarehe yake na mwezi wake, na mwaka…

TIMAZI NI NINI

Timazi ni nini? Ni kifaa kidogo kilichokuwa kinatumika zamani katika Ujenzi na hata sasa bado kinaendelea kutumika...kifaa chenye umbo la PIA. Kinakuwa kimetengenezwa kwa chuma kizito kidogo. Na kinafungwa kamba,…

NENO LA MUNGU NI TAA

Biblia inasema katika Zaburi 119:105  "Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu." Hivyo Neno la Mungu ni Taa! Maisha ya Mtu aliyeokoka yanafananishwa na Mtu…

Yeshuruni ni nani katika biblia?

SWALI: Huyu Yeshuruni  ni nani kwenye biblia?. Na kwanini alinenepa na kumdharau mwamba wa wokovu wake (Kumb.32:15)?. JIBU: Yeshuruni ni jina lingine la Taifa la Israeli lililotumika katika biblia ya…

WOKOVU NI SASA

2Wakorintho 6:1 "Nasi tukitenda kazi pamoja naye twawasihi msiipokee neema ya Mungu bure. 2 (Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama,wakati uliokubalika ndiyo sasa; tazama siku…

JE! KUNA UMUHIMU WOWOTE WA KULIPA ZAKA?

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio mwanga wa njia zetu na taa ya miguu yetu. Zab 119:105..Leo tutajifunza kwa ufupi sana juu…

TUUTAZAME PIA MWISHO WA UJENZI WETU.

Kumbukumbu 22:8 “Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kando-kando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya nyumba yako, mtu akianguka huko”. Bwana Yesu alisema, mtu yeyote anayeyasikia maneno yangu na…

NINI MAANA YA KUKUA KIROHO

Ni muhimu kujifunza nini maana ya kukua kiroho,Namna ya kukua kiroho, faida za kukua kiroho. Na pia ni vizuri kujifunza mbinu za kukua kiroho. Nini maana ya kukua kiroho Roho…

UTUKUFU WA MUNGU NI KITU GANI?

Utukufu wa Mungu ni nini? Utukufu ni heshima fulani ya hali ya juu inayomfunika mtu au kitu. Wanadamu tuna utukufu wetu, Wanyama wanao utukufu wao kadhalika Mungu naye anao utukufu…

SADAKA YA MALIMBUKO.

Malimbuko ni nini? Malimbuko maana yake "kitu cha kwanza kuja au kuzaliwa au zao la kwanza", kwa lugha ya kiingereza "first fruits"...Katika Biblia agano la kale mtoto wa kwanza wa…