DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NI WAKATI GANI SHETANI ANAPENDA KUMSHAMBULIA MWAMINI?

Kama umechunguza utagundua kuwa Wanajeshi vitani sikuzote huwa hawakimbii tu ovyo ovyo kila mahali na kuanza kurusha mabomu na silaha kwa maadui zao kama wanavyojisikia tu hapana, mambo hayawi hivyo…

JIWE LA KUKWAZA

Marko 6:1 ‘Akatoka huko, akafika mpaka nchi ya kwao; wanafunzi wake wakamfuata. 2 Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni…

TUJIFUNZE JAMBO KWA WANAWAKE HAWA WAWILI.

Shalom! Mtu wa Mungu, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo litukuzwe daima, karibu tujifunze Neno la Mungu, na leo tutaenda kuona tabia za wanawake hawa wawili na naamini tutakwenda kujifunza…

JE NI HALALI KUOA WAKE WENGI AU KUTOA TALAKA?

Shalom Mwana wa Mungu, karibu tuyatafakari maandiko na kujifunza.Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza, ni kwanini Mungu aruhusu katika agano la kale wana wa Israeli waoe mke zaidi ya mmoja…

KWANINI NABII ISAYA ALIAGIZWA KUHUBIRI UCHI?

Habari hiyo tunaipata katika kitabu cha Isaya 20: 1-6 “1 Katika mwaka ule jemadari Yule alipofika Ashdodi,alipotumwa na Sargoni mfalme wa Ashuru;naye alipigana na Ashdodi akautwaa. 2 wakati huo Bwana…

AMEFANYIKA BORA KUPITA MALAIKA!

Luka 24:1 ‘‘Hata siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari. 2 Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi, 3 Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana…

CHUJIO HILI NI LA AJABU SANA!

Jaribu kufikiria mtu amepata ajali ya bodaboda, mguu wake umekatika anatokwa na damu nyingi pale chini na kwa bahati nzuri anatokea msamaria mwema ili kutaka kumsaidia, lakini Yule msamaria alipofika…

MAOMBI KWA WENYE MAMLAKA.

1 Timotheo 2 : 1-4 “1 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme…

KAMA MHUBIRI NI WOKOVU UPI UNAUPELEKA KWA WATU?

Mithali 20:14 “Haifai kitu, haifai kitu, asema mnunuzi; Lakini akiisha kwenda zake hujisifu.” Ni wazi kabisa kwa jinsi tunavyozidi kuwa hapa duniani kuna mambo ambayo hayakwepeki, mfano kama hatutakuwa wauzaji,…

MWAMUZI WA KWELI:

Shalom mtu wa Mungu, ni siku nyingine tumepewa neema ya kuishi, Hivyo karibu kwa pamoja tushiriki kujifunza maneno ya uzima, ambayo ndio msingi hasaa wa sisi kuwa hapa duniani. Tukisoma…