DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nini maana ya huu mstari; Mithali 10:22 “Baraka ya Bwana hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo”

Ni kwa namna gani baraka ya Bwana haichanganyi na huzuni, nyuma yake? Mithali 10:22 “Baraka ya Bwana hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo” JIBU: Kwanza ni vema kufahamu hapo anaposema ‘Baraka…

Ni kwa namna gani haki huinua taifa? (Mithali 14:34)

Swali: Maandiko yanasema “Haki huinua Taifa”.. Je hii imekaaje kiundani zaidi? Jibu: Tusome, Mithali 14:34 “HAKI HUINUA TAIFA; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote”. Kwa tafsiri ya kawaida…

Katika kila kazi mna faida; Bali maneno ya midomo huleta hasara tu.

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 14:23 “Katika kila kazi mna faida; Bali maneno ya midomo huleta hasara tu” JIBU: Kitabu cha Mithali na Mhubiri ni vitabu vilivyobeba mafunzo…

HATA WAKATI WENU WA MVI NITAWACHUKUENI. (Isaya 46:3)

Isaya 46:3 “Nisikilizeni, enyi wa nyumba ya Yakobo, ninyi mlio mabaki ya nyumba ya Israeli, mliochukuliwa nami tangu tumboni, mlioinuliwa tangu mimbani;  4 na hata uzee wenu mimi ndiye, na…

Nini maana ya’Shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo’Ayubu 20:4

Ayubu 20:4 Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi,  5 Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu…

Maana ya ‘taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi’ ni nini?

Ayubu 5:6 “Kwani taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi;” Watu wengi tumekuwa tukilaumu mazingira, tukilaumu wanyama, tukilaumu ardhi, na vitu vingine vya asili kuwa ndio chanzo cha matatizo…

Anaposema mwanamume mmoja katika elfu nimemwona anamaana gani?

SWALI: Mhubiri anaposema mwanamume mmoja katika elfu nimemwona bali mwanamke mmoja miongoni mwa wote mimi sikumwona, anamaana gani,? JIBU: Tusome, Mhubiri 7:27 Tazama, asema Mhubiri, mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha…

Je! tunaweza kuwaamuru Malaika kama tunavyoyaamuru mapepo?

(Masomo yahusuyo malaika na uwezo wao) Swali: Je watu wa Mungu wanaweza kuwaamuru Malaika watende jambo Fulani au watoke na kwenda mahali Fulani kama vile mapepo yanavyoamrishwa kwa jina la…

Beelzebuli ni nani? (Mathayo 12:24).

Swali: Katika biblia Beelzebuli alikuwa ni nani?, na kwanini Mafarisayo wamwite Bwana Yesu Belzebuli/. Jibu: Jina Beelzebuli ni mwunganiko wa maneno matatu (3), Beel-ze-buli.. “Beel” maana yake ni“bwana au mkuu”……

Mvinje ni mti gani? (Mwanzo 6:14)

Swali: Mti wa Mvinje uliotumika kutengenezea safina kulingana na Mwanzo 6:14 ndio mti gani kwasasa?. Jibu: Tusome, Mwanzo 6:13 “Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila mwenye mwili umekuja mbele zangu;…