Swali: Kitani ni nini, na Bafta ni nini? Kama tunavyosoma katika Isaya 19:9? Jibu: Turejee. Isaya 19:9 “Tena wao wafanyao kazi ya kuchana KITANI watafadhaika, na hao pia wafumao BAFTA”.…
Swali: Je Mungu anaua kama watu wanavyoua? Jibu: Ndio Mungu pia anaua, maandiko yanasema hivyo.. Mathayo 10:28 “Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; AFADHALI MWOGOPENI YULE AWEZAYE KUANGAMIZA MWILI…
Swali: Je Bwana Mungu anayo jinsia kama wanadamu tulivyo na jinsia? Jibu: Biblia inasema Mungu alimwumba “MTU” kwa mfano wake, na si “WATU” kwa mfano wake. Na Mtu wa kwanza…
Jibu: Ipo elimu isemayo kuwa “Mtu akiokolewa, ameokolewa na hivyo hawezi kupoteza wokovu”.. (Once saved, always saved). Ni kweli msemo huo ni kama unataka kuleta maana kwamba mtu akiupokea wokovu…
Swali: Patasi ni nini kama tunavyosoma katika kitabu cha Kutoka 32:4? Jibu: Turejee.. Kutoka 32:4 “Akaipokea mikononi mwao akaitengeneza kwa PATASI, akaifanya iwe sanamu ya ndama kwa kuiyeyusha; nao wakasema,…
Jibu: Turejee.. Mwanzo 9:27 “Mungu AKAMNAFISISHE Yafethi, Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake” Kunafisisha ni “KUTOA NAFASI au KUTANUA” .. Kwani mzizi wa neno hilo…
Jibu: Labda tuanzie mstari ule wa 18, ili tupate kuelewa vizuri. Isaya 3:18 “Siku hiyo Bwana atawaondolea uzuri wa njuga zao, na kaya zao; 19 na pete za masikio, na…
Ni YESU au JESUS au YESHUA Swali: Je tunapaswa kutumia jina lipi katika maombi na utumishi?..Je tutume YESU (kwa lugha ya kiswahili) au JESUS (kwa lugha ya kingereza) au YESHUA…
SWALI: Shuleni tumefundishwa sayari zipi Tisa Lakini je maandiko yanasemaje kuhusu hili, je zipo kweli kwa idadi hiyo? JIBU: Biblia si kitabu cha kisayansi, au cha taaluma yoyote, kwasababu lengo…
SWALI: Naomba kufahamu Je! dunia Ni duara, tufe au ipo kama sahani imefunikwa na glasi kwa juu?. JIBU: Jambo la msingi kufahamu kuhusu biblia ni kwamba, Biblia si kitabu cha…