SWALI: Kwanini Biblia inakataza kula asali nyingi, nini maana ya mstari huu kiroho? Mithali 25:16 “Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika”. Pia sehemu nyingine inasema..…
Hesabu 14:22 “kwa sababu watu hawa wote, ambao wameuona utukufu wangu na ishara zangu, nilizozitenda huko Misri, na huko jangwani, pamoja na haya WAMENIJARIBU MARA HIZI KUMI, wala hawakuisikiza sauti…
Jibu: Tuanzie kusoma ule mstari wa 3 Wagalatia 2:3 “Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa. 4 BALI KWA AJILI YA NDUGU ZA UONGO WALIOINGIZWA KWA SIRI;…
Jibu: Ni kweli Kristo alizichukua dhambi zetu kama biblia inavyosema katika kitabu cha Petro.. 1Petro 2:24 “Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa…
Wewe umemwaga damu nyingi, Kuna wakati Daudi aliingiwa na wazo la kumjengea Mungu nyumba, hivyo wazo hilo likawa jema sana machoni pa Mungu, likamfurahisha sana Bwana mpaka akamwahidia Baraka tele…
Jibu: Tusome, Isaya 66:3 “Yeye achinjaye ng’ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni…
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 25:23 Upepo wa kusi huleta mvua; Vile vile asingiziaye huleta uso wa ghadhabu. JIBU: Maandiko yanasema Upepo wa kusi huleta mvua, hapo hasemi…
SWALI: Naomba nieleweshwe maana ya huu mstari Mithali 24:27 Tengeneza kazi yako huko nje, Jifanyizie kazi yako tayari shambani, Ukiisha, jenga nyumba yako. JIBU: Zamani enzi za biblia, kilimo kilikuwa…
Jibu: Tusome, Yohana 11:14 “Basi hapo Yesu akawaambia waziwazi, Lazaro amekufa. 15 Nami nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini; lakini na twendeni kwake. 16 Basi Tomaso,…
Swali: Je mapepo yanaweza kuviingia vitu visivyo na uhai kama mawe, milima, bahari, maji au nyumba, na hata kubadilisha maumbile ya hivyo vitu? Jibu ni LA! Mapepo hayawezi kuviingia vitu…