Jibu: Tusome kuanzia ule wa 2 ili tuweze kuelewa vizuri. Ayubu 24:2 “Wako waziondoao alama za mipaka; Huyachukua makundi kwa jeuri na kuyalisha.3 Humfukuza punda wake asiye baba, Humtwaa rehani…
Jina la Bwana na Mwokozi, Mkuu wa Uzima, Yesu Kristo lihimidiwe!..karibu tujifunze Biblia, Neno la Mungu. Upo wakati ambao TAA ya Mungu itazima!.. Tuitikie wito wa Mungu, kabla ya huo…
Thenashara ni neno la kiebrania linalomaanisha namba “kumi na mbili” (12). Kwahiyo badala ya kusema watu 12, ni sahihi kabisa kusema “watu Thenashara”, au badala ya kusema “miezi 12” ni…
Hesabu 11:6 “lakini sasa roho zetu zimekauka; hapana kitu cho chote; hatuna kitu cha kutumaini isipokuwa hii mana tu” Nakusalimu katika jina lenye uweza la YESU KRISTO mwokozi wetu. Ni…
SWALI: Naomba kujua Mstari huu unamaana gani? Mhubiri 6:3 ‘Mtu akizaa watoto mia, akaishi miaka mingi, nazo siku za maisha yake ni nyingi, lakini nafsi yake haikushiba mema; tena ikiwa,…
Jibu: Kutoka 40:20 “Akautwaa ule ushuhuda, akautia ndani ya sanduku, akaiweka miti ya kuchukulia juu ya sanduku, akakiweka kiti cha rehema juu ya sanduku”. Kiti cha Rehema kilichokuwa juu ya…
SWALI: Bumbuazi la moyo ni nini? Kama tunavyosoma katika Kumbukumbu 28:28 “BWANA atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni; JIBU: Pale mtu anapopatwa na mshangao, unaomfanya…
SWALI: Mstari huu unamaana gani? Mithali 18:9 “Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharabu”. JIBU: Mharabu ni neno linalomaanisha “Mharibifu”.. Hivyo hapo anaposema yeye aliye…
Hii ni orodha ya Imani potofu, ambazo ndani yake zina uongo, unaotaka kukaribiana na ukweli. 1.IMANI YA MUNGU BABA. Hii ni imani ya kwanza ambayo ni ya kujihadhari nayo kwasababu…
Tukiijua nguvu Mungu aliyoiweka katika injili, basi tutakwenda kuihubiri kwa bidii zote. Wengi wetu tunasubiri tufikie kimo Fulani cha maarifa ndipo tukahubiri, wengine tunasubiri tupate upako Fulani au uweza Fulani…