Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu, Karibu tuzidi kuyachambua maandiko; Mwanadamu anasongwa na mambo mawili pale linapokuja suala la kuamua hatma ya maisha yake ya milele. Je! Atii…
Shalom, karibu tuyatafakari maandiko. Bwana Yesu ameruhusu miujiza itokee kwenye maisha yetu kwa malengo makuu mawili (2), Lengo la Kwanza ni ili SISI TUPATE FAIDA (TUNUFAIKE) na lengo la pili;…
SWALI: Naomba kufahamu maana ya huu mstari; Mithali 17:17 “Rafiki hupenda sikuzote; Na ndugu amezaliwa kwa siku ya taabu”. JIBU: Huu mstari unaeleza rafiki wa kweli anapaswa aweje, pia rafiki…
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Nakukaribisha tena tuzidi kuyatafakari maandiko. Moja ya mambo ambayo, yalimuhuzunisha sana Bwana Yesu ni pale alipowatazama watu wake na kuwaona wanafanana na…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, Mkuu wa mbingu na nchi libarikiwe. Kitabu pekee chenye mwongozo kamili wa maisha ni biblia takatifu, Mtu mmoja wa Mungu aliwahi kusema…
Swali: Ule mretemu ambao Nabii Eliya alijilaza chini yake ulikuwa ni aina gani ya mti, na je una muujiza wowote kiroho? (1Wafalme 19:4). Jibu: Mretemu ni aina ya mti ujulikanao…
Kwa tafsiri za kidunia mtu asiye na akili ni mtu ambaye hawezi kufiriki, kuelewa, kuwasiliana, kupanga au kutatua matatizo. Hivyo, mwanadamu mwenye mtindio wa ubongo, anajulikana kama hana akili, mtu…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia (Neno la Mungu wetu) lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Biblia inasema…
Wajibu wa wanandoa ni upi? Mume: Kumpenda mke wake Kama mwili wake mwenyewe, ( Waefeso 5:25): Ikiwemo kumuhudumia kiafya, kimavazi, kimalazi, na kiroho. Mke: Kumtii Mume wake: Kumsikiliza, kumuheshimu, kukubali…
MAFUNDISHO MAALUMU KWA WANA-NDOA; FAMILIA TAKATIFU: Marimu na Yusufu. Karibu katika mwendelezo ya Masomo ya wanandoa . Ikiwa wewe ni mwanandoa au unajiandaa kuingia katika ndoa, basi masomo haya ni…