Swali: Masheki ni watu gani kama tusomavyo katika Ayubu 29:10? Jibu: Turejee.. Ayubu 29:10 “Sauti yao masheki ilinyamaa, Na ndimi zao zilishikamana na makaakaa yao”. Masheki ni jina lingine la…
Kichwa cha waraka huu kinasema. “ Waraka wa pili wa Paulo mtume kwa Wathesalonike” Kutuonyesha kuwa Paulo ndiye mwandishi wa waraka huu, kwa kanisa hili la Thesalonike. Lakini pamoja na…
Maandiko yanasema Makwazo hayana budi kuja (Luka 17:1) Unapofanyiwa jambo baya na Mtu wako wa karibu au wa Mbali, huwa ni ngumu kusahau… Kama umeshaokoka na ni mtu uliye mwepesi…
Swali: Je shetani yule audanganyaye ulimwengu alitoka wapi? Jibu: shetani kwa asili aliumbwa na Mungu, na kabla ya kuwa shetani alikuwa akiitwa “Kerubi afunikaye” Ezekieli 28:14 ” Wewe ulikuwa KERUBI…
Kitabu hichi kama kinavyojitambulisha katika mwanzo wake ‘Waraka wa kwanza wa Paulo mtume kwa Wathesalonike’. Paulo ndiye mwandishi wa waraka huu. Aliuandika akiwa Korintho. Tumelijua hilo kufuatana na ujio wa…
Swali: Ufidhuli ni nini kama tunavyosoma katika 2Wakorintho 12:10? Jibu: Turejee.. 2 Wakorintho 12:10 “Kwa hiyo napendezwa na udhaifu, na UFIDHULI, na misiba, na adha, na shida, kwa ajili ya…
SWALI: Nini maana ya 2 Wakorintho 8:9 isemayo alikuwa maskini ili sisi tuwe matajiri kwa umaskini wake. 2 Wakorintho 8:9 Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa…
SWALI: Je! kulingana na mstari huu, watoto wa wapagani hawataokolewa? 1 Wakorintho 7:14 Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe; kama isingekuwa…
Zaburi 93:5 “Shuhuda zako ni amini sana; UTAKATIFU NDIO UFAAO NYUMBA YAKO, Ee BWANA, milele na milele”. Ni kitu gani umekichagua kwenye nyumba ya MUNGU katika mwaka huu?..Je nafasi fulani,…
SWALI: Ni kipawa kipi hicho tusichoweza kukisifu jinsi ipasavyo? 2 Wakorintho 9:15 Mungu ashukuriwe kwa sababu ya kipawa chake, tusichoweza kukisifu kama ipasavyo. JIBU: Mungu alitupa mwana wake (Yesu Kristo),…