DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Misukule ni nini? ni kweli ipo? Na je! inaweza kurudishwa?

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Misukule kwa tafsiri inayojulikana na wengi, ni watu waliotekwa kichawi, kwa lengo la kutumikishwa..ambapo kabla ya kutekwa huko, mtu yule anakuwa anatengenezewa kifo…

Nini maana ya ‘Hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma’?

SWALI: Nini maana ya  “hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma”?(Yakobo 2:13)  Yakobo 2:13 Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu. JIBU: Ukianzia kusoma…

MWANAMKE, BINTI, MAMA.( Sehemu ya 1)

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu katika sehemu ya kwanza ya  mfululizo wa masomo ya wanawake. Yapo masomo mengine kwa wanawake yameshapita nyuma , ikiwa yalikupita na…

Ni mlima gani Yule Mwanamke Msamaria aliokuwa anaumaanisha? (Yohana 4:19)

Jibu: Tusome, Yohana 4:19 “Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii! 20 BABA ZETU WALIABUDU KATIKA MLIMA HUU, nanyi husema ya kwamba huko Yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia”.…

IIGE RATIBA YA MUNGU YA WIKI IKUSAIDIE

IIGE RATIBA YA MUNGU YA WIKI IKUSAIDIE

Wasamaria walikuwa ni watu gani?

Baada ya Israeli kuondolewa na Waashuru kutoka katika nchi yao, Mfalme wa Ashuru aliwaleta watu wengine, wakakae katika nchi hiyo,waliyoondolewa.. ili kwamba nchi hiyo , isibakie mapori. Watu hao walioletwa…

JIPE MOYO MKUU.

Ukimtafakari yule mwanamke ambaye alitokwa na damu kwa muda wa miaka 12, na kwenda kushika pindo la vazi lake, unaweza kudhani aligundua jambo la maana sana machoni pake, au machoni…

Je kauli ya Bwana Yesu inajichanganya? Katika Yohana 8:14 na Yohana 5:31?

Katika Yohana 5:31, tunasoma Bwana Yesu anasema “Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.” Na ukiendelea mbele kidogo katika Yohana 8:14 anasema tena “mimi ningawa ninajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ndio…

NUNUA MAJI YA UZIMA.

Maji ya uzima, tunayoyasoma katika biblia sio maji ya chemchemi, wala ya bombani,  wala kisimani, wala ya mto Yordani ulioko kule Israeli na wala sio maji ya upako, yanayouzwa leo…

Biblia inaposema “Wote tumetenda dhambi” si inamaanisha hakuna mtakatifu duniani?

Tusome, Warumi 3:22 “ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti; 23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na…