Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima ya Mungu wetu, Karibu sana. Jambo ambalo tunapaswa tuwe makini nalo, ni kuchunguza chunguza au kupeleleza peleleza…
SWALI: Ni kwa jinsi gani Paulo aliwiwa na Wayunani na wasio Wayunani, wenye hekima na wasio na hekima? (Warumi 1:14). JIBU: Labda tuanze kusoma kuanzia juu kidogo mstari wa 13.…
Tusome, Wafilipi 3:1 ‘Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi. 2 Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na WAJIKATAO’’. 3…
Je mwanamke anaruhusiwa kupanda madhabahuni akiwa katika siku zake?
Tusome Matendo 24:5 “Kwa maana tumemwona mtu huyu mkorofi, mwanzilishi wa fitina katika Wayahudi wote duniani, tena ni kichwa cha madhehebu ya Wanazorayo”. Katika biblia kipindi ambacho Bwana Yesu yupo…
SWALI: Kwanini wakristo wa kwanza waliposikia kuwa Petro kafunguliwa hawakuamini badala yake walitumia neno "Ni malaika wake"..kwanini wawaze vile au waseme vile? JIBU: Tusome. Matendo ya Mitume 12:11-17 Hata Petro…
SWALI: Nini maana ya kuutia moyo ufahamu? Mtu anatiaje moyo wake ufahamu? Danieli 10:12 "Ndipo akaniambia, Usiogope, Danieli; kwa maana tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu, na…
Yohana 9:39 “Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu” Jibu: Ukisoma habari za Bwana Yesu utaona kuwa alikubaliwa na watu wanyonge…
Shalom tukisoma Mathayo 25:8 na Marko 16:8, tunaona habari mbili zinachanganya, kuhusu wale wanawake, sehemu moja inasema walikwenda kutangaza na sehemu nyingine inasema walikaa kimya hawakumwambia mtu, je ipi ni…
SWALI: Paulo alimaanisha nini kusema…”Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia;? 1Wakorintho 14:14 “Maana nikiomba kwa lugha, roho yangu huomba, lakini akili zangu hazina matunda. 15 Imekuwaje, basi? Nitaomba…