DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

WAOMBEENI WANAOWAUDHI.

Bwana Yesu alisema.. Mathayo 5:43 “Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, 45 ili mpate kuwa wana wa…

“Kinga kilichotolewa motoni “Kinafunua nini kibiblia?

SWALI: Kwanini Yoshua aliambiwa yeye ni kinga kilichotolewa motoni? Hichi kinga kilichotolewa motoni kina maana gani kibiblia? JIBU: Kinga ni kama kijiti, hivyo inaposema kinga cha moto inamaanisha kijiti cha…

Nini maana ya “Tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii”?

Jibu: Tusome.. Waefeso 2: 20 “Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni”. Katika mstari huo yapo mambo makuu mawili ya…

MZUNGUKO WAKO NI UPI?

Ukichunguza utaona Mungu kaweka vitu vingi vya asili katika mzunguko wake. Na kulikuwa na sababu maalumu wa yeye kufanya hivyo.. Mhubiri 1:6 “Upepo huvuma kusi, hugeuka kuwa kaskazi; hugeuka daima katika…

NI NINI KITAKACHOTUFANYA TUPIGE MBIO BILA KUPUNGUZA MWENDO?

Paulo akijua kuwa anakaribia ukingoni kabisa mwa safari yake, hakujali taarifa yoyote mbaya iliyoletwa mbele yake, utaona yeye mwenyewe anasema, mji kwa mji Roho Mtakatifu alimshuhudia kuwa vifungo na dhiki…

ELIMA MCHAWI, ANAFANYA KAZI HADI SASA.

Sikuzote roho haiji hivi hivi tu, bila kuwa na chanzo Fulani, na chanzo hicho kinaweza kuwa mtu, au kitu au sehemu, Sasa pale yule mtu anapoondoka, huwa anaacha tabia yake…

Ni nani aliyesema “Nitume mimi”? katika (Isaya 6:8)

SWALI: Mtumishi wa Mungu! Bwana asifiwe, naomba ufafanuzi kidogo juu ya andiko hili katika Isaya 6:1-10 Ni Nani aliyesema "Nitume Mimi"?je Ni isaya au!? Na kwanini Isaya pia alitakaswa kwa…

TANGAZO

Jumapili ya tarehe 24 tutakuwa na ibada yetu ya pili. Tunawakaribisha Wakazi wa Daresalaam Na wengineo. Pamoja na ushirika tutakuwa na muda wa kuuliza maswali ya biblia, Ushauri na maombezi…

KUJIFUNUA KWA YESU KWA PILI.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Ni wasaa mwingine tena ambao Mungu ametujalia kuufikia hivyo  nakukaribisha tuyatafakari  kwa pamoja maneno ya uzima ndugu yangu. Biblia inatuambia kuwa Bwana…

KWASABABU MUDA TULIOBAKIWA NAO SI MWINGI.

Mtume alituasa wakati huu wa mwisho ni wakati wa kutojishikamanisha sana na mambo ya mwilini, au ya ulimwenguni. Embu tutafakari kwa pamoja hivi vifungu hapa chini. Anasema. 1Wakorintho 7:29 “Lakini, ndugu,…