Shalom, Kuna kipindi mitume walimpelekea Bwana hitaji hili; Luka 17:5 “… Tuongezee imani”. Kwao pengine hili lilikuwa ni hitaji jepesi sana , lakini kwa upande wa Bwana halikuwa ombi la…
Jibu: Sadaka ya kuinuliwa ni sadaka ambayo mtu anaiinua mbele za Mungu. Na ni sehemu ya sadaka iliyo ya heshima kuliko nyingine yoyote ile. Kwamfano mtu anaweza kutoa sadaka ya…
Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; Mithali 20:13 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo. Mithali 20:19 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Basi, usishirikiane naye…
SWALI: Shalom mpendwa katika Bwana , swali langu lipo katika kutoka 33:5 BWANA alipomwambia Musa vueni “vyombo vyenu vya uzuri” ili nipate kujua nitakalowatenda . Nataka kujua aliposema hivyo alikuwa…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno matukufu ya uzima, maadamu tumeiona leo. Wakristo wameganyika katika makundi makuu matatu, makundi hayo yanafananishwa na miti ya matunda.…
Jibu: Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa makosa yote yanastahili msamaha. Hata kama tumetendewa makosa makubwa kiasi gani, mwisho wa siku ni lazima tusamehe, hiyo ndio sheria ya Imani. Hakuna ukristo…
Jibu: Si kweli kwamba mtu anayeua anakuwa anazibeba dhambi zote za yule aliyemuua, na kwamba yule aliyeuawa yupo huru, (anakuwa hana dhambi tena huko anakokwenda). Kama mtu atamkataa Mungu na…
Yeremia 4:22 "Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa". Shalom, …
Zaburi 32:9 :Msiwe kama farasi wala nyumbu, Walio hawana akili. KWA MATANDIKO YA LIJAMU NA HATAMU Sharti kuwazuia hao, au hawatakukaribia:. Hatamu ni kifaa, kinachotumika kumwongozea farasi, ikijumuisha ule mkanda…
Mfalme wa kwanza wa Israeli alikuwa anaitwa Sauli. Mungu alivyomchagua mtu huyu, ilikuwa ni nje ya matarijio ya waisraeli wengi sana. Kwasababu ikumbukwe hapo kabla walikuwa hawana mfalme, hivyo baada…