DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

UPONYAJI WA ASILI

Jina la Bwana libarikiwe. Kuna kitu kimoja cha kipekee ambacho Mungu katuumbia sisi wanadamu “nacho ni uponyaji wa asili” Huu uponyaji wa asili upo katika miili yetu na vile vile…

HASIRA YA MUNGU KUKUWAKIA, KWA KUTOMZUNGUZIA TU MUNGU IPASAVYO.

Shalom, karibu tena tujifunze maneno ya uzima ya Mungu wetu YEHOVA. Kuna wakati Mungu anaweza kukaa kimya na kuruhusu mambo Fulani yatokee, ili aone watu wake watamzungumziaje kuhusu jambo hilo,…

MISTARI YA BIBLIA KUHUSU NDOA.

Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. kwa link hii >>> https://chat.whatsapp.com/FgA1HWRFZWH4IqqLunFGcs Mistari ya biblia kuhusu ndoa  ni ipi? Ndoa ni tendo ambalo…

KUMTEGEMEA MWOKOZI Lyrics/Swahili.

Historia ya nyimbo KUMTEGEMEA MWOKOZI Lyrics/Swahili~ Tis So Sweet to Trust in Jesus. Wimbo huu uliandikwa na mwanamke mkristo wa kiingereza aliyeitwa, Louisa M. Stead, Mnamo mwaka 1882, Ni wimbo…

Nini maana ya Shalom na Maran atha

Utauwa umewahi kusikia maneno haya mawili yakitamkwa miongoni mwa wakristo. (Shalomu na Maranatha) Lakini pengine huelewi maana yake!. Nini maana ya Shalomu? Shalomu au Shalom ni neno la kiebrania lenye…

Maana ya watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.

SWALI: Nini maana ya hili Neno “watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa” (Hosea 4:6). JIBU: Maarifa yanayozungumziwa hapo sio maarifa ya darasani.. ingawa hata hayo ya shuleni pia ni maarifa…

MISTARI YA BIBLIA YA UPONYAJI.

Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate 'Neno la siku' kila asubuhi. Na mistari mingine mingi ya faraja ..kwa link hii >>>> https://chat.whatsapp.com/LO2BncRILtiAlnRYfZWG2V Mistari ya biblia ya uponyaji.…

MISTARI YA BIBLIA KUHUSU UPENDO.

Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. Na mistari mingine mingi ya faraja ..kwa link hii >> https://chat.whatsapp.com/LO2BncRILtiAlnRYfZWG2V Mistari ya biblia kuhusu upendo.…

KUMCHA MUNGU NI NINI? NA MTU ANAMCHAJE MUNGU?

Kumcha Mungu ni kukoje? Kumcha Mungu ni Neno la jumla, linalomaanisha kujishughulisha na mambo yote yanayompendeza Mungu ikiwemo; kumpenda, kumtii, kumwogopa, kuchukia uovu, kumtumikia yeye, kufanya mapenzi yake, kumwabudu, kumfanyia…

FAHAMU MAJIRA ULIYOPO NA NINI UNAPASWA UWE NACHO.

Kiwango cha uelewa kuhusu wokovu au Mungu waliokuwa nacho Kiwango cha uelewa, hutupaswi tuwe nacho sisi kwa wakati huu, tunapaswa tuende zaidi ya pale, Hata mambo ya kidunia yanatufundisha, elimu…