DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

IS THERE ANY IMPORTANCE OF PAYING THE TITHES?

Blessed be the name of our Lord Jesus Christ, Today we will learn very briefly about paying tithes, Scripturally tithes are the 10th part, of one's income to God. So…

AMELAANIWA AANGIKWAYE MSALABANI.

Kwanini Amelaaniwa aangikwaye msalabani? Kutundikwa msalaba au kwa jina lingine kutundikwa mtini, ilikuwa ni adhabu iliyotekelezwa kwa watu wenye makosa ya hali ya juu sana.                                Adhabu hii ilikuwa sio tu…

Watoto wa Ibrahimu/Wana wa Ibrahimu walikuwa ni wangapi?

Je! Watoto wa Ibrahimu/Wana wa Ibrahimu walikuwa ni wangapi? Jumla ya wana wa Ibrahimu walikuwa ni nane (8). Kulingana na Biblia. Mwana wa kwanza alikuwa ni Ishmaeli, ambaye alizaliwa na…

WATOTO WA YESE KATIKA BIBLIA.

Watoto wa Yese katika biblia walikuwa ni wangapi? Kitabu cha Samweli kinaonyesha Yese alikuwa na wana nane(8), Daudi akiwa ndio mwana wa mwisho kabisa, Lakini kitabu cha Mambo ya Nyakati…

NAMWANDAMA BWANA Lyrics~ Trust and Obey

NAMWANDAMA BWANA Lyrics~ Swahili?| Trust and Obey Nyimbo hii iliandwa mwaka 1887, na Mchungaji  mmoja aliyeitwa  John H Sammis, (Mmarekani), ambaye alifanikiwa pia kuandika nyimbo nyingine Zaidi ya 100 zenye…

NI KITU GANI TUNAJIFUNZA KWA RISPA, BINTI AYA?

Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Natumai u mzima, karibu tujifunze Maneno ya Uzima kama ilivyo wajibu wetu, maadamu siku ile inakaribia. Leo tutatazama kwa ufupi juu ya…

REKEBISHA YAFUATAYO ILI MAMBO YAENDE SAWA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tuyatafakari maandiko pamoja. Katika maisha, hakikisha unarekebisha vitu vinne. 1) Kazi unayoifanya 2) Kabila unalotoka 3) Nchi unayotoka 4) Mahali unapotoka. Haya…

Siku ya uovu ndio siku gani hiyo?

SWALI: ‘Siku ya uovu’  inayozungumziwa katika Waefeso 6:13 Ni ipi? Waefeso 6:13 “Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote,…

Yakobo alikuwa na watoto wangapi?

Yakobo alikuwa na watoto wangapi? Yakobo, mjukuu wa Ibrahimu, alipewa neema na Mungu ya kuwa na Watoto 13, Kati ya hao 12 ni wa kiume na 1 wa kike aliyejulikana…

KUOTA UNAOLEWA/UNAOA.

Kuota unaolewa/ unaoa kunamaanisha nini? Zipo ndoto zenye maana katika Maisha yetu, na pia zipo ndoto zisizo na maana yoyote katika Maisha yetu,. Hizi zisizo na maana ni ndoto ambazo,…