Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia leo tena. Vipo vipindi tofauti tofauti ambavyo kila mkristo atavipitia…maana biblia inasema katika.. Mhubiri 3:1 “Kwa kila jambo kuna majira…
Shalom, welcome to bible study… I have met a number of people who, if you try to tell them about the cross or the salvation brought by our Savior Jesus…
Mapepo ni nini? Mapepo ni Malaika walioasi zamani ambao hawakuilinda enzi yao mbinguni. (Yuda 1:6) Na shetani mwenyewe akiwa kama pepo mkuu. Sasa walipoasi ndipo wakatupwa duniani, na hiyo ilikuwa…
Ndio kwa kupigwa kwake sisi tumepona!! Tunao ujasiri wote wa kusema hivyo, kwasababu kuacha kwake enzi na mamlaka mbinguni, kisha kuja kuishi maisha ya taabu na mateso hapa duniani, kuanzia…
Ukisoma kitabu cha Warumi sura ya 9, ya 10, na ya 11..utaona mambo mazito sana mtume Paulo aliyokuwa akiyazungumza juu ya ndugu zake wayahudi. Akieleza jinsi neema ya Mungu ilivyoondolewa…
Msamaria mwema ni mtu wa nanma gani? Ni kauli ambayo tunaisikia katika jamii yetu mara kwa mara. Na hiyo inatokea pale mtu mfano amekumbana na matatizo au shida Fulani halafu…
Adam na eva akina nani? Hawa ni wazazi wetu wa kwanza. Biblia inasema Mwanzo 1:27 “Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. …
Je! biblia inasema nini juu ya wafiraji? Ufiraji ni Neno linalojumisha kitecho chochote cha kumwingilia mwanadamu mwanzako kimapenzi kinyuma na maumbile. Uwe unamwingilia mwanaume mwenzako (Ulawiti na ushoga), Au uwe…
Ulokole/ Walokole wametoka wapi? JIBU: Kabla ya kwenda kujua maana ya ulokole, ni muhimu kujua kwanza maana ya neno ‘kanisa’..Tafsiri ya kwanza ya kanisa sio “jengo” bali ni “mkusanyiko wa…