Yapo maneno ambayo huwezi kuzungumza, isipokuwa kwanza unaelewa vizuri ni nini unazungumza vinginevyo unaweza kujiweka kwenye kitanzi mwenyewe na kuingia matatizoni.. Kuna wakati Bwana aliwaambia wale watu wanaoshindana naye maneno…
Ahadi za Mungu ni za kweli kabisa,.. Lakini tatizo kubwa linalotukabili sisi wanadamu ni kutokujua njia Mungu anazozitumia kutimiza ahadi zake. Na hiyo inawafanya watu wengi waishie kukata tamaa pale…
Baraka za Mungu zinakujaje? Ni vizuri kufahamu kuwa mafanikio sio Baraka, lakini Baraka zinaweza kupelekea mafanikio. Unaweza ukawa ni tajiri na ukafanikiwa na mali zako zikawa ni nyingi sana, lakini…
SWALI: Je! Yesu ni Mungu? Na Kama ni Mungu kwanini alikufa? JIBU: Yesu alikuwa ni Mungu katika mwili (1Timotheo 3:16)...lakini hakuja kutafuta kuabudiwa wala kusujudiwa!...Mpaka Mungu amevaa mwili na kuja…
SWALI: Naomba unisaidie hii 2 wathesalonike 2:7 “Yuko azuiaye sasa Hadi atakapoondolewa, naomba unisaidie huu mstari unamaanisha Nani huyo anayezuia na Ni kwa nini?” JIBU: Ukianzia kusoma tokea mistari ya…
Agano jipya ni nini? Tukitamka neno “agano jipya” tunathibitisha kuwa lilishawahi kuwepo agano la zamani (La kale) hapo kabla. Hivyo ili kufahamu agano jipya ni nini, ni vizuri kwanza ukapata…
Upendo wa Mungu ni upi? Kwanza kabla ya kufahamu upendo wa Mungu upoje, ni muhimu kufahamu aina za upendo. Zipo aina kuu tatu za upendo. Aina ya kwanza ni Upendo…
“Mwamba wenye Imara, kwako nitajifichaa...” Ni wimbo wa kenye kitabu cha Tenzi, ambao unafahamika sana...lakini historia ya wimbo huu ni haujulikani na wengi. Wimbo huu uliandikwa na Mhubiri mmoja wa…
Siku za mwisho wa dunia zitakuwaje? Ukweli ni kwamba dalili zote zinaonyesha kuwa tunaishi katika siku hizo. Shetani anawapufusha watu wengi macho wasilione hilo, ili waendelee kujiburudisha katika mambo maovu…