Upendo ni kitendo cha kuonyesha hisia za tofauti za ndani kwa mtu mwingine, Ni hisia zinazoonyesha pengine umeridhishwa na mtu huyo, au umemkubali, au umemuhurumia, au unataka kumkaribia uwe karibu…
Shalom, mtu wa Mungu karibu tujifunze Biblia pamoja.. Wapo wanaodhani kuwa hakuna kuokoka duniani! lakini nataka nikuambie wokovu ni hapa hapa duniani..Mbinguni ni matokeo ya wokovu wetu. Biblia inasema kama…
Ukiwasimamisha watu wawili mbele yako, mmoja daktari na mwingine mtu wa kawaida ambaye hajasoma, halafu ukawaonyesha wote wawili ndege ya kivita inayopaa hewani, kisha ukawauliza swali moja jepesi “ Je!…
Freemason ni nini? nini historia ya freemason?, nani mwanzilishi wa freemason na Je! Freemasons ni wa kuogopwa? Masharti ya freemason ni yapi? Shalom! Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu…
Biblia haijaweka bayana safina ilijengwa kwa muda gani, Wapo wanaosema ilijengwa kwa muda wa miaka 120 kufuatia mstari wa kitabu cha Mwanzo 6:3 " Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu…
Nuhu aliishi jumla ya miaka 950, hiyo ndio jumla ya miaka yake...Aliishi miaka 600 kabla ya Gharika, na aliishi miaka mingine 350 baada ya gharika. Mwanzo 9:28 "Na Nuhu akaishi…
Biblia inasema Nuhu alikuwa na watoto watatu tu! SHEMU, HAMU na YAFETI, ambao wote walikuwa wakiume. Mwanzo 5:32 "Nuhu alikuwa mwenye miaka mia tano, Nuhu akawazaa Shemu, na Hamu, na…
Kuzimu ni mahali, ambapo roho za watu waliokufa zinakwenda..Ni sehemu ya rohoni ambayo haionekani kwa macho ya kibinadamu.. JE! WANAOENDA KUZIMU NI WATU GANI? Wanaoenda kuzimu ni watu ambao wameasi…
Jambo ambalo watu wengi hawafahamu ni kuwa ndani ya mtu kuna kitu kinachoitwa DHAMIRI.. Hichi ndicho kinachomshuhudia mtu kuwa alichokifanya ni sahihi au sio sahihi hata kama jambo hilo litaonekana…
Bwana Yesu alikuja, akaondoka naye atarudi tena? Swali ni je! atarudi kufanya nini? Jibu: Atarudi kuitawala hii dunia pamoja na watakatifu wake, Biblia inasema dunia hii, enzi na Mamlaka amepewa…