JIBU: Ndoto ni mfululizo wa picha na mawazo na hisia zinazokuja wakati mtu amelala, Na hizo zinakuja pasipo hiyari ya mtu, kwamba mtu hapangi au haamui ni nini cha kuota!…
JIBU: Kuishi kwa Neno ni sawa mtu aseme ishi Kwa sheria au katiba ya nchi.Sasa unaishije kwa sheria ya nchi?, kwanza ni lazima uzijue sheria zenyewe kisha uziishi bila kuzivunja…
JIBU: Vita vipo vya aina mbili, 1) Vita vya kuishindania Imani …na 2) Vita vya kuishindania Injili, Vita vya kuishindania Imani Tunasoma katika Yuda 1:3 “Wapenzi, nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia…
SWALI: Yakobo aliyeitwa ISRAELI:Alikuwa na wana 12 (Benyamini,Yusufu,Yuda,Lawi,Asheri,Isakari,Gadi,DANI,Zabuloni,Naftali,Reubeni,&Simeoni) Ambao kabila za Taifa la Israeli ziliitwa kwa majina ya hao wana 12 wa Israeli. Wana wawili wa Yusufu, Benyamini na Manase…
SWALI: Malaki 4: 5”Angalieni,nitawatumia Eliya nabii,kabla siku ile ya BWANA,iliyo kuu na ya kuogofya haijafika.Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao,na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ILI NISIJE NIKAIPIGA…
JIBU: Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana kidogo, lakini kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu, 1) Ndoto zinazotokana na shughuli (Mhubiri 5:3): hizi ndio mara nyingi zinamjia mtu,…
Je! mwanadamu wa kwanza kuumbwa ni yupi Mzungu, mwafrika au Mchina na kama ni mmojawapo kati ya hao je hao wengine wametoka wapi? JIBU: Ni muhimu kufahamu kuwa Mungu aliiumba jamii…
SWALI: Moja ya kazi ya Malaika ni kumlinda Binadamu na Mapepo, Sasa baada ya hukumu kazi ya malaika itakuwa ipi kama shetani atakuwa kashatupwa na mwanadamu kainuliwa kiwango cha juu…
SWALI: Hapo Bwana wa mabwana anamaanisha nini kusema ‘ Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu ya sindano ’..Je! ni sindano ipi hiyo inayozungumziwa? Maana kisasa tuna sindano za kushona nguo,sindano za kushonea…
SWALI: Bwana wetu YESU ametuahidi tumuombe jambo lolote lile KWA JINA LAKE YESU naye atalifanya..Mahali pengine anatuambia maombi yetu Watakatifu ni harufu nzuri ya manukato mbele zake..(Sasa mfano mimi nanyi…