Mata ni kitu gani na imebeba ujumbe gani kiroho? Jibu: Turejee, Mwanzo 27:2 “Akasema, Tazama, sasa mimi nimekuwa mzee, wala sijui siku ya kufa kwangu. 3 Basi, nakuomba, chukua MATA…
SWALI: Na je! Walawi na makuhani katika kanisa la sasa ni watu wa namna gani? JIBU: Mungu alilichagua kabila moja kati ya kumi na mbili liwe kabila lake takatifu litakalosimama…
SWALI: Nini maana ya Kumbukumbu 25:11 Kumbukumbu 25:11 “Washindanapo waume wao kwa wao, akakaribia mke wa mmojawapo, ili kumwokoa mumewe katika mkono wa ampigaye, yule mke akatoa mkono wake, na…
Swali: Kwani kulikuwa na ubaya gani, wa bwana yule kurudisha talanta ile moja?, kwani hakupoteza kitu wala hajaleta hasara yoyote?..je kulikuwa na sababu gani ya yeye kuhukumiwa vile?. Jibu: Ili…
Swali: Je Bwana alimaanisha nini kusema “ilikupasa kuiweka fedha yangu kwa watoao riba” Je alikuwa na maana gani kusema vile? Jibu: Mathayo 2:27 “basi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwa watoao…
Swali: Biblia ina maana gani kusema Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa? Je hiki kiti cha Musa ndio kipi? Jibu: Turejee, Mathayo 23:2 “Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha…
Upo umuhimu mkubwa wa kuliita Jina la Bwana Warumi 10:12 “Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao;…
Jibu: Tusome, Walawi 19:27 “Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu”. “Denge” ni mtindo wa kunyoa nywele kwa kuziacha nyingi upande wa juu (katikati) na kuziacha…
Ni neno lenye maana zaidi ya moja, kwamfano katika vifungu hivyo, Lilimaanisha chemchemi za maji zilizokuwa juu ya anga, Mungu alizifungua, mvua ikaanza kunyesha bila kipimo au kiasi, usiku na…
Jibu: Ili tuweze kuelewa vizuri tuanzia ule mstari wa kwanza, na tusome mpaka ule wa 5 Warumi 9:1 “Nasema kweli katika Kristo, sisemi uongo, dhamiri yangu ikinishuhudia katika Roho Mtakatifu,…