Jibu: Tusome, Mwanzo 33:17 “Yakobo akaendelea mpaka Sukothi. Akajijengea nyumba, akawafanyia makundi yake vibanda. Kwa hiyo jina la mahali pale pakaitwa Sukothi”. Tafsiri ya neno “Sukothi” ni “Mahema”.. Hii ni…
Swali: Je sisi watu wa agano jipya ni lazima kuwa na vipindi vya kuombea mlimani?. Na je huko mlimani Mungu ndioko anakosikia Zaidi maombi kuliko chini?.. msaada! Jibu: Hakuna agizo…
Jibu: Tusome kuanzia mstari wa 43.. Luka 23:44 “Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda, 45 jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu…
Jina la Bwana YESU KRISTO, Mkuu wa uzima, libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, neno la Mungu wetu lililo taa na mwanga wa njia yetu (Zab.119:105) Biblia inatufundisha kuwa TUMTAKE BWANA na…
SWALI: Bwana Yesu asifiwe naomba kufahamu maana ya hili andiko; 1Wakorintho 14:20 “Ndugu zangu, msiwe watoto katika akili zenu; lakini katika uovu mgeuzwe watoto wachanga, bali katika akili zenu mkawe…
SWALI: Nimesikia hili neni Rhema, likitajwa sana Kwa watumishi na sehemu mbalimbali, naomba nifahamishwe maana yake Nini, mbona silioni kwenye biblia? JIBU: Ni vema kutambua kuwa Biblia, katika eneo la…
Neno hilo kama linavyotumika kwenye biblia..linamaanisha aidha mojawapo ya mambo haya matatu: Kushiba Hadi kufikia hatua ya kutokipenda Tena kile ulichokipokea Mwanzo. Kuwadharau wengine Kwa kufanya mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya…
"Romans road to salvation" Njia ya wokovu ndani ya kitabu Cha Warumi ni Nini? Ni mpango wa wokovu wa mwanadamu, ambao umeainishwa vyema kutoka katika kitabu Cha Warumi. Kitabu hichi…
Swali: Katika Mathayo 14:5 tunasoma kuwa Herode alitaka kumwua Yohana mbatizaji, lakini tukirudi katika Marko 6:20 tunasoma habari nyingine tofauti kuwa Herode hakutaka kumwua Yohana mbatizaji, badala yake alimweshimu na…
Biblia inatufundisha kuwa Mazungumzo mabaya ndiyo yanayoharibu tabia njema ya mtu. 1Wakorintho 15:33 “Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema”. Maandilizi ya dhambi karibia zote yanaanzia katika “mazungumzo”.. wanaopanga kuua wanaanzia…