DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Praitorio ni nini? Na Kwanini ilikuwa ni najisi kwa wayahudi kuingia humo? (Yohana 18:28)

Jibu: Turejee, Yohana 18:28  “Kisha wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa mpaka Praitorio, nayo ikawa alfajiri; lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya ile praitorio,wasije wakanajisika,bali wapate kuila Pasaka”. Praitoria ni “ukumbi…

JE! UPO KATIKA MAJI YA UTULIVU?

Shalom, nakusalimu katika jina la Yesu Kristo mwokozi wetu. Karibu tujifunze maneno ya uzima maadamu siku ile inakaribia. Katika siku hizi za mwisho ni lazima uwe makini sana na mahali…

Nini maana ya neno ‘mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena’?

SWALI: Biblia inamaana gani inaposema ‘mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena’ (Mithali 24:16) JIBU: Ili kuielewa vema mstari huo  tuanzie vifungu vya juu yake kidogo. Mithali 24:15 Ewe mtu…

WENGINE WANAKESHA KWAAJILI YAKO.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Leo nataka tujifunze umuhimu wa kuchunguza mambo, kwani  tusipokuwa watu wa kuchunguza mambo basi tunaweza tusiuelewe uweza wa…

SHUGHULIKA SANA NA DHAMBI YA KUSAHAU.

Nakusalimu katika jina kuu sana na lenye nguvu la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mungu wetu. Sisi kama Wanadamu Kila mmoja wetu haijalishi ameokoka au…

Fanya bidii kuijua hali ya makundi yako (Mithali 27:23)

Haya ni Mafundisho maalumu Kwa ajili ya watumishi, ikiwa wewe ni kiongozi, askofu, mwalimu, mchungaji, mtume, mwinjilisti, unayesimama mahali fulani katika kulitazama kundi la Bwana, au jamii ya watu waliookoka,…

Tatizo la maumivu ya mgongo kibiblia.

Je mgongo kuuma kunasababishwa na nini? Kama maumivu ya mgongo si kutokana na umri, au ugonjwa uliopo ndani ya mwili wako sasa, au si kutokana na ajali uliyoipata au hali…

Tatizo la Bawasiri kibiblia

Tatizo la Bawasiri kibiblia Je biblia imeutaja ugonjwa wa Bawasiri mahali popote?, Ni nini chanzo cha Bawasiri na nini tiba ya Bawasiri?. Jibu ni ndio! Ugonjwa wa bawasiri umetajwa katika…

Guruguru na Goromoe ni wanyama gani? (Walawi 11:30)

Jibu: Turejee. Walawi 11:29 “Tena katika vitu vile vitambaavyo, vitambaavyo juu ya nchi, hivi ni najisi kwenu; kicheche, na panya, na mjombakaka, kwa aina zake,  30 na GURUGURU na kenge,…