Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, leo tujikumbushe historia fupi ya tafsiri ya biblia ya King James. King James au kwa Kiswahili “Mfalme Yakobo”…
Tusome, Mithali 13:2 “Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri” Haini ni jina lingine la mtu ambaye ni “Msaliti”, mtu anayefanya usaliti…
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Naamini kuwa ulishawahi kusoma katika maandiko kuwa kuna mahali Yesu alilala. Lakini ulishawahi kujiuliza ni kwanini habari ile iandikwe kulikuwa na…
Jibu: Tusome, Mithali 13:8 “Dia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake; Bali mtu maskini hasikii ogofyo lo lote”. Dia ni Kiswahili kingine cha neno “Fidia”, Kwahiyo hapo biblia inaposema…
Watu wa kale walitumia wino, na kalamu pamoja na karasati kuweka kumbukumbu zao kama tunavyofanya sasa.. Isipokuwa wino wao, kalamu zao na karatasi zao zilikuwa tofauti na hizi tunazotumia sasa..…
Zaburi 147:3 Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao. 4 Huihesabu idadi ya nyota, Huzipa zote majina. 5 Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.…
SWALI: Kwanini Mungu alimuadhibu Eli kwa kosa la kutowaonya watoto wake, angali tunasoma katika maandiko aliwaonya hapo kabla? Tusome; 1Samweli 2:22 Basi Eli alikuwa mzee sana; naye alisikia habari za…
Baraka ni karama ya Mungu, na kila mmoja wetu aliyekombolewa na Yesu, ahadi hiyo ni yake. Baraka zimegawanyika mara mbili, zipo baraka za mwilini, na baraka za rohoni. Lakini kubwa…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, Huu ni mfululizo wa masomo maalumu kwa ajili ya wanawake: Ikiwa hukupata chambuzi nyingine za nyuma basi fungua link hii uweze kuzipitia…
Huu ni mfululizo wa Masomo maalumu kwa Watumishi wa Mungu (Wahubiri wa Injili, Wachungaji, Wainjilisti, Waalimu, Manabii na Waimbaji wote). Hosea 4:6 “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa…