DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mofa ni nini? na inafunua nini kiroho?(1Samweli 28:24).

Jibu: Tusome, 1Samweli 28:24 “Naye yule mwanamke alikuwa na ndama aliyenona nyumbani; akafanya haraka kumchinja; akatwaa na unga, akaukanda, akafanya MKATE WA MOFA kwa unga huo”. Mkate wa Mofa ni…

NI WAPI UTAKUTANA NA MALAIKA WA BWANA?

Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo aliye Bwana na mwokozi wetu. Utukufu na uweza ni vyake milele na milele. AMEN. Leo tuone ni nini Bwana anasema nasi tena nyuma ya …

HII NDIO TABIA YA WATU WA KEILA, USIIGE

(1Samweli 23:1-14) Keila ni moja ya miji midogo  iliyokuwa Israeli, lakini kuna wakati ulipitia taabu kubwa sana ya kuvamiwa na wafilisti, wakateswa wakaibiwa nafaka zao, hivyo wakiwa katika mahangaiko hayo,…

Je unaruhusiwa kufanya tendo la ndoa ukiwa katika mfungo?

Haya ni Mafundisho maalumu kwa ajili ya wanawake.. JIBU: Ni vema kujua mfungo ni nini na madhumuni yake ni yapi. Mfungo ni kitendo cha kujizuia kufanya jambo fulani la lazima…

VYA MUNGU MPENI MUNGU.

Tunajua kuwa vya Kaisari tunavyopaswa tumpe ni “kodi” lakini je! Na Vya Mungu ambavyo tunapaswa tumpe ni vipi kulingana na Luka 20:25? Tuanze kusoma mstari wa 21 ili tuelewe vizuri…

WALA HAKUSIMAMA MTU PAMOJA NAYE, YUSUFU ALIPOJITAMBULISHA KWA NDUGUZE

Mwanzo 45:1 “Hapo Yusufu hakuweza kujizuia mbele yao wote waliosimama karibu naye. Akapiga kelele, na kusema, Mwondoeni kila mtu mbele yangu. Wala hakusimama mtu pamoja naye, Yusufu alipojitambulisha kwa nduguze. …

WEWE U MUNGU UONAYE.

Mafundisho maalumu kwa ajili ya waajiriwa: Sehemu 1 "Wewe U Mungu uonaye" Kwa kuwa tupo katika huu ulimwengu, na hivyo Bwana ametuagiza tufanye kazi za mikono (kwa sisi ambao hatuna…

USIIKARIBIE DHAMBI, KAA NAYO MBALI.

Je unajua kwamba kuikaribia dhambi ni “DHAMBI”, Hata tu kabla ya kuifanya?. Mungu hakumpa tu Adamu maagizo ya kutokula yale matunda ya mti wa katikati…bali  pia alimwambia “Asiyaguse yale matunda”..asije…

Kuna tofauti gani kati ya  “Edeni” na “Adeni”?

Nini tofauti kati ya Bustani ya Edeni (Mwanzo 2:8) na bustani ya Adeni (Ezekieli 28:13 na  Yoeli 2:3) Jibu:Tusome Mwanzo 2:8 “Bwana Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa EDENI,…

Mwanazuoni ni mtu gani kibiblia?

Mwanazuoni ni mtu aliyejikita katika utafiti au usomi wa ndani katika tasnia Fulani, lengo lake likiwa ni kupata uvumbuzi wa yale magumu yenye utata au yaliyojificha.. Hivyo mwanazuoni wa biblia…