Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu, lililo taa na mwanga wa njia zetu. Je unajua ni kwanini tunapaswa kwenda kuihubiri injili kwa ujasiri wote, tena pasipo woga wowote?.. na…
Jibu: Tusome kuanzia mstari wa kwanza.. Matendo 23:1 “Paulo akawakazia macho watu; wa baraza, akasema, Ndugu zangu, mimi kwa dhamiri safi kabisa nimeishi mbele za Mungu hata leo hivi.2 Kuhani…
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 18:8 “Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo; Nayo hushukia pande za ndani za tumbo”. JIBU: Mchongezi kibiblia ni mtu anayesambaza habari mbaya za…
SWALI: Mimi nimeokoka lakini nakuwa na hasira nyingi sana, nifanyaje ili niweze kuzizuia hasira zangu? JIBU: Hasira zipo za aina mbili, Kuna hasira zenye malengo chanya, na kuna hasira zenye…
Jibu: Ili tuelewe vizuri tofauti ya haya maneno mawili “kipawa na karama” hebu tuutafakari mfano ufuatao; Watu wawili wamepewa zawadi ya magari ya kutembelea, tena yanayofanana, kila mmoja la kwake..…
Wakati ni “kipindi cha Muda” kwa kusudi Fulani, Kwamfano ukipanga kesho saa 7 mchana uende sokoni kununua bidhaa.. sasa huo muda wa “Saa 7 mchana” ndio unaoitwa “wakati wa kwenda…
Swali: Hawa wadudu, tunaowasoma katika Yoeli 2:25 (Nzige,Parare, madumadu na tunutu) ni wadudu gani na wanabeba ujumbe gani kiroho? Tusome, Yoeli 2:25 “Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na NZIGE, NA…
Silaha moja shetani anayoitumia kuharibu maisha ya kiroho ya watu wengi, hususani vijana ni MAKUNDI!.. Na mtu mkamilifu ni Yule anayeweza kuchagua aina ya watu wa kutembea naye. Biblia inatufundisha…
Bwana Yesu atukuzwe daima. Karibu tena tuyasogelee maneno matukufu ya Mungu wetu Yehova; Maandiko yanasema hivi; Waefeso 2:1-2 Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu;ambazo mliziendea zamani…
Swali: Katika 1Timotheo 2:8 tunaona Mtume Paulo akiwataja wanaume kuwa wanaposalisha wanyanyue mikono iliyotakata, sasa hii mikono iliyotakata ndio mikono ya namna gani? Jibu: Tusome, 1Timotheo 2:8 “Basi, nataka wanaume…