Sulemani kwa uvuvio wa Roho alipewa kujua kati ya mambo sita yanayomchukiza Mungu, mojawapo ni mikono imwagayo damu za watu.(Mithali 6:17). Na sehemu nyingi sana katika maandiko utaona Bwana akiwakemea…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, libarikiwe. Zipo njia nyingi za kuvuta rehema za Mungu, juu yako.. baadhi ya hizo ni kuwa Mwombaji, mtoaji, na mtu wa kusamehe.…
Jina la Bwana Yesu Kristo, Mkuu wa Uzima, libarikiwe.. karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu, ambalo ni taa iongozayo miguu yetu na mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Je unajua…
Ayubu 21:10 “Fahali wao HUVYAZA wala hapungukiwi na nguvu; Ng'ombe wao mke huzaa, asiharibu mimba”. Kuvyaza ni lugha ya “kuzaliana” inayotumika kwa Wanyama wa kiume. Badala ya kusema "Ng’ombe dume…
Ufunuo 19:11-13 Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa-kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita. Na macho yake yalikuwa kama mwali…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, libarikiwe!…karibu tujifunze Biblia, Neno la Mungu wetu. Neno la Mungu ni Taa iongozayo hatua za miguu yetu na Mwanga unaoongoza Njia yetu.…
SWALI: Je ni kweli, mpagani akioa au akiolewa na yule aliyeamini, na yeye pia anahesabiwa kuwa mkamilifu kulingana na mstari huu? 1Wakorintho 7:13 Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na…
Wapo wanatofautisha maneno haya mawili, na wapo wanayoyaona kama ni kitu kimoja.. Ni kweli Bwana Yesu alituonyesha kuwa "maandiko na Neno" la Mungu ni kitu kilekile kimoja, na ndivyo ilivyo..…
Jibu: Tuisome Habari nyenyewe… Yohana 8:3 “Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. 4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. 5 Basi katika torati, Musa alituamuru…