Ufunuo 19:11-13 Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa-kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita. Na macho yake yalikuwa kama mwali…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, libarikiwe!…karibu tujifunze Biblia, Neno la Mungu wetu. Neno la Mungu ni Taa iongozayo hatua za miguu yetu na Mwanga unaoongoza Njia yetu.…
SWALI: Je ni kweli, mpagani akioa au akiolewa na yule aliyeamini, na yeye pia anahesabiwa kuwa mkamilifu kulingana na mstari huu? 1Wakorintho 7:13 Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na…
Wapo wanatofautisha maneno haya mawili, na wapo wanayoyaona kama ni kitu kimoja.. Ni kweli Bwana Yesu alituonyesha kuwa "maandiko na Neno" la Mungu ni kitu kilekile kimoja, na ndivyo ilivyo..…
Jibu: Tuisome Habari nyenyewe… Yohana 8:3 “Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. 4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. 5 Basi katika torati, Musa alituamuru…
“Unyakuo wa kanisa umepita leo!. Hakuna tena toba” Je taarifa hizi zimekushtua??. Hebu jiulize Siku taarifa hizi zitakapokuwa kweli utakuwa katika hali gani? Mpaka sasa, unyakuo bado, haujatokea lakini siku…
Kwa kawaida Mawe, hayaishi.. ni vitu visivyo na uhai.. Kwasababu tabia mojawapo ya viumbe hai ni kukua, na nyingine ni kuzaliana na kuwa na hisia (yaani muitikio kwa mazingira ya…
Ni jambo la kawaida katika familia yoyote, si Watoto wote watakuwa na mahusiano sawa na wazazi wao. Wapo ambao wataonekana kuaminiwa Zaidi ya wengine, wapo ambao watapendwa Zaidi ya wengine,…