Wahiti ni watu gani, na wa Taifa gani kwa sasa? Biblia haijaeleza kwa urefu, Habari ya Wahiti, lakini kulingana na maandiko, walikuwa ni watu Hodari na waliotawala sehemu ya nchi…
JIBU: Tukumbuke kuwa “sala ya Toba” sio wokovu, Sala ya toba ni njia mojawapo, inayotumiwa kuukaribisha wokovu ndani ya mtu, lakini sala kama sala yenyewe sio wokovu, Ikiwa na maana…
Jibu: Kuna tofauti ya “Utasi” na “Utasa”.. Utasa ni hali ya mtu kutokuwa na uwezo wa kuzaa, lakini Utasi ni tatizo la udhaifu wa ulimi (yaani ulimi kuwa mzito), Mtu…
Jina la Bwana wetu, Yesu Kristo libarikiwe.. karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu. Bwana Yesu alisema maneno haya katika Luka maneno haya.. Luka 16:8 “…..kwa kuwa wana wa ulimwengu…
Waebrania 10:25 “WALA TUSIACHE KUKUSANYIKA PAMOJA, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia”. Kukusanyika kunakozungumziwa hapo, ni kukusanyika na…
SWALI 1: Je! Shetani anaweza kuumba, kama Mungu? Kama sio Mbona kipindi cha Farao, tunaona wale waganga waliweza kuleta vyura na nyoka, kama alivyofanya Musa. Je wale vyura aliwaumbaje, uhai…
Maandiko yanasema.. 1Timotheo 3:16 “Na bila shaka SIRI YA UTAUWA NI KUU…”. Utauwa, maana yake ni UUNGU!.. Hivyo maandiko yanaposema.. “Siri ya Utauwa ni kuu”..maana yake ni kwamba “Siri ya…
Kisiwa cha Patmo kipo nchi ya Ugiriki kwa sasa...Kisiwa hicho kipo mashariki mwa Taifa la Ugiriki na magharibi mwa nchi ya Uturuki, kama vile Zanzibar ilivyo mshahariki mwa nchi ya…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele, amina. Karibu tuyatafakari maneno yake, maadamu siku zenyewe zimekaribia kuisha. Ukisoma vitabu vya injili…
SWALI: Je mwanamke Fibi, alikuwa ni askofu wa makanisa, kama mitume? Kulingana na (Warumi 16:1) Warumi 16:1 16:1 “Namkabidhi kwenu Fibi, ndugu yetu, aliye mhudumu wa kanisa lililoko Kenkrea; 2…