SWALI: Ni mema gani na mabaya gani, Adamu na Hawa waliambiwa watayajua?, Kwasababu Kama ni mema siwalikuwa wanayafanya hapo kabla? JIBU: Ili tuweze kuelewa vizuri, tujifunze katika mifano ya kawaida…
Je! ni risasi hizi tunazozijua za bunduki, au ni risasi ya namna gani?. Jibu: Katika biblia kuna maneno yaliyotumika ambayo yakiletwa katika nyakati zetu, yanabadilika maana kabisa.. kwamfano utaona Neno…
JIBU: Saumu ni neno lenye asili ya lugha ya "kiaramu" lenye maana ya "kujizua kufanya jambo/kitu fulani kwa ajili ya ibada". Hivyo pale mtu anapoacha kula kwa kipindi fulani, kwa…
Si kila tunayemuhubiria, ni lazima tuone matokeo ya papo kwa papo ya badiliko.. Ni kweli tunatamani iwe hivyo kwa watu wote , na wakati mwingine ukiwa kama muhubiri unaweza kuvunjika…
Jina la Mwokozi wetu, Yesu libarikiwe.. Karibu tujifunze biblia, leo tutajifunza jambo dogo, linalohusiana na faida za kumtolea Bwana. Moja ya mambo ambayo shetani kayakoroga sana katika Ukristo na nje…
SWALI: Kwanini katika Mwanzo 5:2 tunasoma Mungu aliwaita Adamu na Hawa jina moja la Adamu..na sio mawili tofauti.? Mwanzo 5:2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku…
Ni kwanini Raheli afanye vile, ilihali Mungu alikataza ibada za sanamu?. Jibu: Tusome, Mwanzo 31:18 “Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyokuwa ameyapata, na wanyama aliowapata katika Padan-aramu,…
Waanaki ni jamii ya watu wakubwa na warefu waliotoka katika uzao wa mtu mmoja anayeitwa Anaki mtoto wa arba (Yoshua 15:13, 21:11)..Maana halisi ya jina hilo kulingana na lugha ya…
Shalom ni Raheli yupi aliyekuwa anawalilia watoto wake?, na Watoto hao ni wakina nani? Na kiliwatokea nini?.. (Yeremia 31:15 na Mathayo 2:18). Jibu: Tusome, Yeremia 31:15 “Bwana asema hivi, Sauti…