Ipo siku moja mauti itashindwa kabisa kabisa... Siku moja tutavikwa miili mipya ya utukufu!, katika siku hiyo, parapanda ya Mungu italia, na wote tuliomwamini Yesu, tulio hai..kama hatutakufa mpaka siku…
Jibu: Mpaka imeitwa miziki ya kidunia maana yake imebeba maudhui ya kidunia: Na biblia inasema yeye aliye rafiki wa dunia ni adui wa Mungu. 1Yohana 2:15 “Msiipende dunia, wala mambo…
SWALI: Kwanini Mungu aliufananisha uzuri wa Kaanani na kama nchi ibubujikayo maziwa na asali? Kwanini isiwe kitu kingine chochote, labda dhahabu na nafaka? Kutoka 3:8 “nami nimeshuka ili niwaokoe na…
Daudi ni mfalme ambaye alikuwa amezungukwa na mashujaa hodari sana, na mashujaa hao aliowachagua walikuwa wamegawanyika katika makundi makuu matatu, Kundi la kwanza kabisa ambalo lilikuwa ndio la juu kabisa…
Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maandiko. Sisi kama wakristo, ili tuweze kukua kutoka utukufu hadi utukufu, na imani hadi imani, hatuna budi kuyatafakari…
Jibu: Tukianza na Neno “Siti Msharifu”. Neno hili tunalipata mara moja tu! Katika biblia nzima katika kitabu cha Wimbo ulio bora 7:1. Wimbo ulio bora 7:1 “SITI MSHARIFU, jinsi zilivyo…
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 23:27 “Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba. 28 Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu”. JIBU:…
SWALI: Kwanini Bwana Yesu alisema watu wa kizazi kile wamefanana na watoto walioketi masokoni na kuitana,? Mfano huo unaelewekaje? Na pia alikuwa na maana gani kusema maneno haya? Luka 7:35…
Kama wewe ni mtoto wa Mungu kweli kweli na sio mwana-haramu, ni vema ukafahamu tabia za Mungu kwako zinavyokuwa hususani katika eneo la pongezi na maonyo, ili usije ukaishi maisha…
SWALI: Je Ni kweli Mtume Paulo alipuuzia, maonyo aliyoonyeshwa na Roho Mtakatifu kwa kinywa cha Agabo juu ya kwenda Yerusalemu? JIBU: Tusome habari yenyewe kwa faida ya watu wote; Matendo…