SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 25: 11 “Neno linenwalo wakati wa kufaa, Ni kama machungwa katika vyano vya fedha”. JIBU: Vyano ni wingi wa neno “Chano”, lenye maana…
Somo no. 01 (Hawa) Somo no.02 (Binti wa Yeftha). NAFASI YA MWANAMKE KATIKA KANISA MWANAMKE, BINTI, MAMA.( Sehemu ya 1) MWANAMKE, BINTI, MAMA. (Sehemu ya 2) MWANAMKE, BINTI, MAMA. (Sehemu…
Nini maana ya kuzumbua na kujitoja? Katika biblia.(Walawi 6:3, Kumbukumbu 14:1, ) Jibu: Neno kuzumbua tunalisoma katika kitabu cha Mambo ya Walawi 6:3, na tafsiri ya neno hilo ni “kukipata…
Karibu katika mwendelezo wa masomo yawahusuyo wanawake wa kwenye biblia, Leo tutamtazama mwanamke mmoja/binti mmoja aliyekuwa mtoto wa pekee wa Mwamuzi wa Israeli. Binti huyu alikuwa alikuwa ni mtoto wa…
Daudi alisema.. Zaburi 56:3 “Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe; 4 Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini”? Maadamu tupo hapa duniani, haijalishi…
SWALI: Kwanini Bwana Yesu aliwalenga mbwa na nguruwe tu , na si wanyama wengine katika mfano wa Mathayo 7:6? Mathayo 7:6 “Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele…
SWALI: Bwana Yesu asifiwe,.Naomba kufahamu tofauti kati ya kuhukumu na kulaumu, maana nashindwa kuelewa, imesema tusihukumu. Je kwa mtu anayetenda dhambi kwa makusudi unapomlaumu ni sawa na kumuhukumu? Luka 6:37…
HAWA Karibu katika mfululizo wa masomo yawahusuyo wanawake wa kwenye biblia, katika mfululizo huu, tutajifunza mengi yahusuyo majukumu ya wanawake kibiblia. Katika biblia kulikuwepo na wanawake waliokuwa mfano mzuri wa…
SWALI: Nini maana ya “kuabudu malaika”, kama tunavyosoma, katika Wakolosai 2:18? Wakolosai 2:18 “Mtu asiwanyang'anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono…
Huruma ni nguzo muhimu sana ambayo tunapaswa tuwe nayo sisi tuliompokea Kristo maishani mwetu. Ni kwanini tuwe na huruma? Ni kwasababu Baba yetu naye ni mtu mwenye huruma. Luka 6:36…