Nini maana ya neno kuchelea kama tunavyolisoma katika biblia? Kuchelea ni hofu au wasiwasi, husanani ule unaotokana na kuzuka kwa madhara Fulani. Kwa mfano tusome mstari huu; 2Wakorintho 11:2 Maana…
Kutahayari maana yake ni kuweka katika aibu, kuaibisha, kuaibishwa, kuaibika. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolieeleza Neno hilo; 2Timotheo 2:15 “Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na…
SWALI: Sifongo na siki ni nini, alizopewa Bwana Yesu pale Msalabani? JIBU: Tusome.. Yohana 19: 28 “Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe,…
JACHIN AND BOAZ. Shalom, may the name of our Lord be blessed forever. The Word of God tells us .. Lamentations 3:22-23 “It is of the Lord's mercies that we…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tuyatafakari maandiko pamoja. Kama tunavyojua hakuna wokovu kwa mwingine yoyote, isipokuwa kwa Bwana wetu Yesu, haijalishi dunia itasema nini, haijalishi imani nyingine…
QUESTION: What does the Bible mean when it says "In the abundance of wisdom there is an abundance of sorrows"? Is it not right to seek wisdom? Ecclesiastes 1:17 “ And…
Mlima Gerizimu na Ebali ni ipi? Mlima Gerizimu ni mlima unaopatikana katika mji wa Samaria Israeli, unatazamana uso kwa uso na mlima Ebali, tazama picha juu, milima hii miwili ilikuwa…
QUESTION: What is the meaning of this verse? Ecclesiastes 10: 2 “A wise man's heart is at his right hand; But a fool's heart is at his left”. ANSWER: This…
SWALI: Biblia ina maana gani kusema “Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni” Je! si sahihi kutafuta hekima? Mhubiri1:17 “Nikatia moyo wangu ili kuijua hekima, na kujua wazimu na…
Hanithi ni nini? Hanithi kibiblia ni mwanaume anayeingiliwa kinyume na maumbile, (Kwa lugha ya sasa wanajulikana kama mashoga), watu wote waliokuwa wanafanya hivi vitendo, waliitwa mahanithi, na adhabu yake ilikuwa…