DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

VITABU VYA BIBLIA: Sehemu ya 8 (Kitabu cha Ezekieli)

Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Biblia. Huu ni mwendelezo wa vitabu vya biblia ambao tumeshatazama vitabu 17 vya mwanzo..Ikiwemo kitabu cha Ezra na Yeremia. Hivyo leo kwa…

KWANINI TUNAOMBA KWA JINA LA YESU?

Ili kujua vizuri ni kwanini tunaomba kwa jina la Yesu. Tafakari kidogo mfano huu. Jaribu kuwaza, mfano wewe ni mwekezaji halafu umeona shamba zuri mahali Fulani na unataka kwenda kuekeza…

JE KUVAA PETE NI DHAMBI?

Je kuvaa pete ni dhambi kwa mkristo? Awali ya yote kabla hatujafahamu kama kuvaa pete ni dhambi au sio dhambi ni vizuri  kwanza tukajua jambo hili kuwa biblia imekataza wanawake…

Nini maana ya “wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto”?

SWALI: Biblia inaposema “Na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto” Ina maana gani? (Yuda 1:22). JIBU: Ukisoma kitabu chote cha Yuda kwa utulivu ambacho ni sura 1 tu, utaona maudhui…

Who are these people whose place was not found

Who are these people whose place was not found? (Revelation 20:11) ANSWER: Let's read. Revelation 20:11 “And I saw a great white throne, and him that sat on it, from…

KUOTA UPO KANISANI.

Kuota upo kanisani inamaanisha nini kimaandiko? Hiyo ni ndoto njema itakayo kwa Mungu. Kamwe shetani hawezi kukuotesha ndoto ya namna hiyo.. Kama umeota ndoto hii kuna mawili. La kwanza ikiwa…

JE KANISA LITAPITIA DHIKI KUU?

Hili ni moja ya swali lenye mtafaruku mkubwa sana miongoni mwa wakristo, na wengi hata wameishia mpaka kugombana kabisa!..Wapo wanaoamini kanisa litapitia dhiki kuu ndipo linyakuliwe na wapo wanaoamini kanisa…

KUOTA UMECHOMWA KISU/KUOTA UMEPIGWA RISASI.

Kuota umechomwa kisu au Kuota umepigwa risasi kuna maanisha nini? Awali, ni vyema kujua kuwa si kila ndoto aotayo mtu, ina maana katika maisha yake, Hilo ni vizuri ukalifahamu, Ndoto…

ZABURI 91, NI ZABURI YENYE NGUVU NYINGI.

Zaburi 91, Ni Zaburi iliyo ya kipekee sana yenye nguvu, Na shetani analijua hilo, ukitaka kuamini jiulize, ni kwanini Shetani aliitumia Zaburi hii kumjaribu Bwana,? Kiasi kwamba mtego wake ungekubali…

YAKINI NA BOAZI.

Shalom, jina la Bwana wetu libarikiwe daima. Neno linatuambia.. “Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi..” (Maombolezo 3:22-23). Na wewe usomaye…