DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MAANA YA RANGI KIBIBLIA.

Utangulizi: Wakati mwingine Mungu anaweza kutumia rangi kutufikishia sisi ujumbe fulani, mfano mara baada ya Nuhu kutoka katika Safina Mungu alimpa agano la upinde wa mvua kama ishara kuwa hatateketeza…

Kuna Mbingu ngapi?

Je kuna mbingu ngapi? Mbingu saba ni nini?..na kama zipo 7 je mbingu ya kwanza ni ipi, mbingu ya pili ni ipi, mbingu tatu pia ni ipi? na hatimaye zote…

NI NINI TUNAJIFUNZA JUU YA MT. DENIS WA UFARANSA?

Shalom. Jina la kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wetu unaoangazia matendo ya baadhi ya watu walioishindania imani hadi kufa bila kuiacha..Tulishawaona baadhi nyuma na Leo…

JIHADHARI NA KUOSHWA MIGUU ISIVYOPASWA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe…Ni kwa Neema zake tumeiona tena siku ya leo..hivyo hatuna budi kumshukuru sana kwa Fadhili zake nyingi kwetu, na kuchukua nafasi hii angalau kujifunza…

NENO LA MUNGU NI DAWA ILIYO TOFAUTI NA DAWA NYINGINE.

Neno la Mungu au kwa jina lingine linaitwa Gombo, ni dawa inayoponya maisha ya mtu kwa ujumla.Tofauti na Dawa nyingine, ambazo zinaweza kuishia kuponya mwili tu, na baada ya hapo…

MTU ASIYE PAMOJA NAMI YU KINYUME CHANGU.

Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu tena tujifunze maandiko…kwa kuwa jukumu kuu tulilonalo kila siku ni kumjua sana Yesu Kristo mwana wa Mungu na kuhakiki kila siku ni…

Ukweli dhidi ya uongo.

JIHADHARI NA UONGO WA SHETANI.

Kwanini kila nikitaka kusali naingiwa na uvivu?

SWALI: Kwanini kila nikitaka kusali naingiwa na uvivu, au nikitaka kusoma Neno ninapatwa na usingizi je! hizi ni nguvu za giza zinazisonga au ni nini?. JIBU: Mtu yeyote aliyeokoka mbele…

MTUMWA SI MKUU KULIKO BWANA WAKE.

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Yohana 13:13 ‘Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo. 14 Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewatawadha miguu,…

LOLOTE ATAKALOWAAMBIA FANYENI.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, libarikiwe daima. Nakukaribisha katika kuyatafakari maneno mazuri ya Bwana wetu. Kama tukisoma kitabu cha Yohana, sura ile ya pili tunaona, habari ile ya Yesu…