Njia za Mungu hazichunguziki, Mariamu akutana na Elisabeti..Elisabeti katika uzee wake aliambiwa atapata mimba, wakati ambao kizazi kimeshanyauka. Je! Ni nini tunaweza kujifunza hapo?. Nakusalimu katika jina kuu la Emanueli,…
Shalom…Jina la Bwana, libarikiwe..Karibu tuzidi kujifunza Neno la Mungu…Ambalo ni Taa iongozayo miguu yetu na mwanga wa njia zetu. (Zaburi 119:105). Leo tutajikumbusha namna Mungu anavyotenda kazi ili tusijikute tunaingia…
Vitabu vilivyothibitika vya historia vinavyoeleza maisha na vifo vya watakaifu wengi wa kwanza vinaeleza kuwa Antipa alikuwa ni kasisi aliyeteuliwa na mtume Yohana, kuwa mwangalizi wa kanisa lililokuwa Pergamo. Kama…
Utangulizi: Tusomapo, habari za mashujaa hawa wa Imani, lengo lake ni kututia hamasa ya kutua mizigo yote ya dhambi inayotusonga , na kupiga mwendo kwa saburi katika safari yetu ya…
Zifahamu namba katika biblia na maana zake. Tafsiri ya namba kibiblia. Shalom, Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Kabla hatujaenda moja kwa moja katika tafsiri ya namba kibiblia, awali ya yote…
SWALI: Je ulipwaji wa Mahari ina ulazima wowote?..je ni Agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo Je! Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa? JIBU: Ndoa ya kwanza ilifungishwa…
Shalom, jina la mfalme mkuu Yesu Kristo libarikiwe daima.Kama ukisoma kitabu cha Waebrania sura ile ya 11 yote, Utaona Mtume Paulo, akiwaelezea kwa mapana wale mashujaa wa Imani (Wingu kubwa…
SWALI: Je Mungu alipomwumba Adamu kwa sura yake na mfano wake alikuwa na kitovu?..Kwasababu kazi ya kitovu ni kumlisha mtoto tumboni chakula kutoka kwa mama yake.....Sasa Adamu na Hawa hawakupitia…
JIBU: Kama yatakuwepo maombi ya kumtoa mtu aliyekufa katika dhambi kuzimu …basi yatakuwepo pia maombi..au itakuwepo namna ya kumtoa mtu aliyekufa katika haki paradiso. Lakini kama hakuna maombi yoyote au…
Alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote!! Waebrania 4:14 “Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu. 15 Kwa kuwa hamna…