Jina la Mfalme Mkuu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno yake ambayo ni mwanga wa njia zetu, na taa iongozayo miguu yetu (Zab. 119:105) Leo tutajifunza kwa ufupi, umuhimu wa…
SWALI: BWANA YESU ASIFIWE SANA ndugu zangu..naswali naomba kujua BWANA alikuwa anamaana gani kusema haya maneno...Mathayo 5:13 ‘Ninyi ni chumvi ya dunia;lakini chumvi IKIWA IMEHARIBIKA ITATIWA NINI HATA IKOLEE?....’ JIBU:…
Sasa hivi kuna madhehebu mengi duniani, na yanazidi kuongezeka kwa kasi. Madhehebu karibia yote yana Maaskofu na wachungaji...Na pia yana maaskofu wakuu...Ndio utasikia mahali fulani Askofu Mkuu wa kkkt anatajwa,…
SWALI: Ukisoma Mathayo 12:32 “utaona anae mkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa sasa na hata ule ulimwengu ujao. Sasa sio ndio kusema, kama nimekufa nikiwa na baadhi ya makosa nitasamehewa ule ulimwengu…
Shalom, mtu wa Mungu, Biblia inasema mtu hataishi kwa mkate tuu, bali kwa kila Neno litokalo katika kinywa cha Bwana, hivyo pale tunapojifunza Neno la Mungu kwa dhati tuwe na…
Bwana Yesu alikuwa na wanafunzi wengi, lakini alikuwa na Mitume 12 tu! Matume hawa 12 wote walichaguliwa kwa ufunuo wa Roho, kwani tunasoma kwamba Bwana kabla ya kuwachagua mitume hao…
Kuota umepotea mjini, au kuota umepotea shuleni, au kuota umepotea msituni, au kuota umepotea njia panda au kuota umepotea katika riadha au kuota umepotea sehemu usiyoijua, kwa vyovyote vile maadamu…
Katika Biblia Injili ni nini maana yake? Neno Injili limetokana na Neno la kigiriki "euaggelion" lenye maana ya "Habari Njema". Hivyo Injili maana yake ni habari njema...Tukirudi katika biblia Injili…
Luka 12:47b“………Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na Zaidi”. INJILI NI DENI Kila siku tunapolisikia Neno la Mungu tujue kabisa…
Je Kujiua ni dhambi? Ili kufahamu kuwa kujiua ni dhambi au la! Hebu tutafakari mstari ufuatao. 1Wakorintho 6:19 "Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye…