DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mtande ni nini? Ni funzo gani lipo nyuma yake?

Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi. Waamuzi 16:13 Delila akamwambia Samsoni, Hata sasa umenidhihaki, umeniambia maneno ya uongo; niambie sasa, waweza kufungwa kwa kitu gani? Akamwambia, Ukivifuma hivi vishungi saba…

YESU KATIKA KUCHOKA KWAKE.

Mahali pekee ambapo maandiko yanaeleza kuchoka kwa Yesu, ni siku ile alipokuwa anatoka Uyahudi anakwenda Galilaya. Kwasababu safari yake ilikuwa ndefu, ya saa nyingi, ilibidi waweke kituo kwanza kwenye mji…

UWEZA WA MUNGU NJE YA WAKATI.

Tunaposikia kuhusu uweza wa Mungu wa kufanya mambo “nje ya wakati” moja kwa moja tunafikiria, juu wa wakati ambao umepitiliza muda wake. Lakini hatufikirii juu ya wakati ambao “bado haujafikiwa”…

Je Farao alikufa kwenye maji pamoja na jeshi lake au alipona?

Maandiko hayaelezi moja kwa moja kifo cha Farao. Lakini baadhi ya hivi vifungu vinatuonyesha Farao alizama na jeshi lake katika bahari ya shamu. Zaburi 136:15 Akamwangusha Farao na jeshi lake…

Rubani ni nani katika biblia? (Ezekieli 27:8)

Swali: Je zamani marubani wanaoendesha ndege walikuwepo kama tunavyosoma katika Ezekieli 27:8? Jibu: Turejee mstari huo.. Ezekieli 27:8 “Wakaao Sidoni na Arvadi ndio waliovuta makasia yako; wana wako wenye akili,…

Ubani ni nini?.. Na je wakristo tunaruhusiwa kuchoma ubani?

Swali: Je kuna ubani katika biblia?.. Na kazi ya Ubani ni nini? Jibu: Ubani ni moja ya viungo vilivyotumika zamani kutengenezea manukato matakatifu yaliyoitwa “Uvumba”.. Viungo hivi (ubani) vinatokana na…

Dhamiri ni nini kibiblia?

Dhamiri au Dhamira ni nini kibiblia? “Dhamiri” au kwa lugha nyingine “Dhamira” ni hisia ya ndani ya mtu (ya asili) inayompa kupambanua lililo jema na lililo baya, lililo zuri na…

Ulimwengu wa Roho ni nini? Na mtu anawezaje kuwa wa rohoni?

Kwa tafsiri za kiulimwengu, ulimwengu wa roho Ni ulimwengu usioonekana kwa macho ambao unasadikika viumbe kama malaika, mapepo, au roho za wafu huishi na kutenda kazi. Na kwamba vyenyewe ndio…

SIRI KUU NNE (4), UNAZOPASWA UZIFAHAMU NDANI YA KRISTO.

Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Uweza na nguvu ni vyake milele na milele. Amen. Kuna mambo ambayo Mungu aliyaweka wazi, lakini pia kuna mambo ambayo Mungu…

ZIFAHAMU KARAMA 9 ZA ROHO MTAKATIFU NA UTENDAJI KAZI WAKE.

Karama tisa (9) za Roho mtakatifu tunazisoma katika kitabu cha 1Wakorintho 12. Tusome, 1Wakorintho 12:4  “Basi pana tofauti za KARAMA; bali Roho ni yeye yule. 5  Tena pana tofauti za…