Baghairi ni neno la kiunganishi lenye maana ya… “Mbali na”. Kwamfano nikitaka kusema.. “Mbali na yote ninayoyapitia bado nitasimama imara katika Imani”..naweza kuisema sentensi hiyo kama ifuatavyo “Baghairi ya yote…
Katika 1Wafalme 15:2 na 1Wafalme 15:10 tunaona wote mama yao ni mmoja, ambaye ni Maaka, binti Absalomu. Lakini Mstari wa 8 unasema ni mtu na mwanawe. Jibu: Tusome, 1Wafalme 15:1…
Yohana 19:23 “Nao askari walipomsulibisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake; na kanzu nayo. Basi kanzu ile haikushonwa, ilikuwa imefumwa yote pia tangu juu.…
Yapo mambo mengi Bwana Yesu aliyoyafanya ambayo katika akili za kawaida, ni ngumu kuaminika. Yapo mengi lakini leo tulitazame moja kuu, ambalo hakuna mwanadamu yeyote wala kiumbe chochote kinachoweza kufanya.…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia, maneno ya Mungu wetu aliye juu..kwasababu maneno yake ndio Mwanga wa njia yetu ya kuelekea mbinguni, na Taa iongozayo miguu…
Neno hili utalikuta sehemu nyingi sana katika biblia, kwa mfano hivi ni baadhi ya vifungu ambavyo utakutana na neno hilo; Ayubu 13:28 “Nijapokuwa ni kama kitu kilichooza, kinachosinyaa, Mfano wa…
SWALI: Naomba ufananuzi wa mstari huu, ni kwanini ndugu wanaokaa pamoja wafananishwe kama na mafuta mazuri yashukayo ndevuni mwa Haruni? Zaburi 133:1 “Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae…
Milango ni wingi wa neno “mlango”..( Malango na Milango), ni neno moja. Katika biblia tunasoma Neno hilo likitajwa na Bwana Yesu.. Mathayo 16:18 “ Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na…
SWALI: Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, samahani naomba kuuliza swali kwenye 2Wafalme 8:7-15. Kwanini Elisha alimwambia Hazaeli amwambie mfalme kuwa atapona na wakati Bwana alimuonyesha Elisha kuwa mfalme atakufa.…
JIBU: Watu wengi wanajaribu kutoa tofauti katika maneno hayo mawili, lakini ukweli ni kwamba yanamaanisha jambo lile lile moja, ufalme wa mbinguni ndio ufalme wa Mungu. Na ndio maana kuna…