DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mungu anaposema “nitaliweka jina langu” ana maana gani?

SWALI: Kwanini kila mahali Mungu anasema, “mahali Fulani nitaliweka jina langu au nimeliweka jina langu”, Je ana maana gani kusema hivyo, ni kwamba lile jina lake la YEHOVA, anakuwa analiweka…

Hayawani ni nini katika biblia?

Mwanzo 3:14 "Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za…

Je ni wanyang’anyi wawili waliomtukana Bwana Yesu au mmoja?

SWALI: Kitabu cha Mathayo 27:44 na Marko 15:32b inazungumzia wale wanyang'anyi walioteswa pamoja na Yesu kuwa wote wawili walimtukana Yesu pia, ila tukisoma Luka 23:39 inasema ni mmoja ndiye alimtukana…

Shekina ni nini? Na Je! Utukufu wa shekina unamaana gani?

Shekina au Shekhinah / schechinah, Ni neno la kiyahudi linalomaanisha, “kutua” au “kuweka makao” au “makazi” ya uwepo wa Mungu duniani. Hivyo utukufu wa Shekina maana yake ni kujifunua kwa…

LIPO LA KUJIFUNZA KWA WALE MASHUJAA 37 WA DAUDI.

Kama vile Daudi alivyokuwa shujaa, vivyo hivyo yeye naye alikuwa na mashujaa wake wengine 37 waliokuwa chini yake wakimzunguka wakati wote,walipokuwa vitani kushindana na maadui zao . Kwa ufupi mashujaa…

VITABU VYA BIBLIA: Sehemu ya 10 (Kitabu cha Zaburi).

Jina la Bwana wetu na Mwokozi wetu, Yesu Kristo libarikiwe...Karibu katika kuyatafakari maandiko, tumekwisha kuvipitia vitabu kadhaa vya Mwanzo, naomba kama hujavipitia na ungependa kuvipitia, basi fungua hapa >> VITABU VYA…

Bahari mbalimbali zilizoorodheshwa kwenye biblia.

Biblia inaziorodhesha bahari kuu nne, tuzisome; 1 ) Bahari ya shamu: Kwa sasa inajulikana kama bahari nyekundu, (Kwa kiingereza red sea). Hii ni ile bahari ambayo wana wa Israeli waliivuka…

Sharoni ni nini au ni wapi kibiblia?(1Nyakati 5:16)

Maana ya Neno Sharoni ni “uwanda” au “nchi tambarare”. Katika biblia, tunaona lipo eneo (wilaya) lililojulikana sana na waisraeli kama Sharoni, japokuwa biblia haijatolea maelezo yake mengi, Lakini ni eneo…

LANGO LIMEBADILIKA.

Ezekieli 44:1 “Kisha akanirudisha kwa njia ya lango lile la nje, la mahali patakatifu lililoelekea upande wa mashariki; nalo lilikuwa limefungwa. 2 Bwana akaniambia, Lango hili litafungwa, halitafunguliwa, wala mtu…

Bisi ni nini? (Walawi 23:14, Ruthu 2:14)

Bisi ni nini? Kama wengi tunavyofahamu bisi kwa mazingira yetu ni yale mahindi yanayokaangwa na kufutuka na pale yanapobadilika na kuwa na mwonekano mwingine (mweupe mweupe ) huliwa. Kwa wengine…