Nzio ni kipimo cha ujazo wa kimimika kilichotumiwa zamani na wagiriki, Nzio moja ina ujazo wa karibia lita 40, Katika biblia utaona ile habari ya Yesu kualikwa katika arusi kule…
Hozi ni nini? Hozi ni neno linalomaanisha himaya, ikijumuisha eneo na vitu mtu anavyomiliki. Kwa mfano unaweza kuona, Yabesi, alimwomba Mungu ambariki na kumzidishia Hozi yake (Himaya yake), Hiyo akiwa…
Shalom, Karibu tujifunze biblia, ambayo ni Neno la Mungu. Ni vizuri kumjua Mungu ili tuwe na Amani.. Biblia inasema hivyo katika.. Ayubu 22: 21 “Mjue sana Mungu, ili uwe na…
SWALI: Naomba kufahamu kuwatema farasi maana yake ni nini?. Kwanini Mungu aliwaagiza wana wa Israeli wakati mwingine wawateme farasi za maadui wao vitani? Neno hilo tunalisoma katika kifungu hiki; Yoshua…
Jibu: Kuna tofauti ya Neno “kutakabari” na “kutabaruku”. Kutakabari ni “kuwa ni majivuno yanayotokana na kiburi” unaweza kusoma kusoma kwa urefu hapa >> KUTAKABARI Lakini “kutabaruku” ambako ndiko tunakokwenda kukuzungumzia…
Jibu: Kutakabari maana yake ni “kuwa na kiburi”...Na hicho kinaweza kuja kutokana na kujiamini sana, au kuwa na kitu fulani ambacho wengine hawana, na kujiona huhitaji kitu kingine chochote...Kutakabari huko…
Utauliza je! Shetani ana uwezo wa kuzuia majibu ya maombi?. Jibu ni ndio!. Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa shetani kamwe hana uwezo wa kuzuia maombi kumfikia Mungu..Maombi yeyote yale mtu…
Sala ya Uponyaji/Maombi ya uponyaji Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo. Kusudi lingine kuu tukiachilia mbali lile la wokovu wa roho zetu ambalo lilimfanya Bwana Yesu aache enzi na…
Neno hilo italisoma katika ile habari ya Stefano alipokuwa anatumiwa na Mungu kufanya ishara na maajabu yasiyokuwa ya kawaida katika kanisa lake. Lakini baadhi ya wayahudi wa masinagogi mbali mbali…
Jina la Bwana wetu libarikiwe daima. Nakukaribisha katika kujifunza Maneno ya Mungu. Leo kwa ufupi tutatazama sehemu ya maisha ya Bwana wetu Yesu jinsi yalivyokuwa hapa duniani. Kama tunavyojua maisha…