Lewiathani ni nani? Zaburi 104: 25 “Bahari iko kule, kubwa na upana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai vidogo kwa vikubwa. 26 Ndimo zipitamo merikebu, Ndimo alimo LEWIATHANI ULIYEMWUMBA ACHEZE…
Shalom. Kulikuwa na sababu kwanini Yusufu awe seremala, vilevile kulikuwa na sababu pia kwanini Bwana wetu Yesu Kristo naye pia awe seremala, na sio kazi nyingine, kabla ya yeye kuanza…
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu, ambalo ndio mwanga wa njia yetu na taa iongozayo miguu yetu. Ili tufanikiwe na tuwe na maisha mazuri siku…
Tutakapofikia kule ng’ambo zipo thawabu za aina mbili Mungu alizotuandalia, zipo thawabu ambazo zitajulikana na kila mmoja wetu, na zipo thawabu ambazo hatutazijua kila mtu isipokuwa hao watakaozipokea. Kwa mfano…
Kuota unacheza mpira kuna maanisha nini kiroho? Ndoto za namna hii kuwa zinakuja kutoka katika makundi mawili, Kundi la kwanza ni kutokana na shughuli za kila siku. Mhubiri 5:3 “Kwa…
Kuna tofuati kati ya sala ya toba na Maombi ya toba. Sala ya toba, ni pale mtu anapokuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo, pale anapoamua kuacha Maisha yake ya…
Ni jambo jema kutafuta sala ya toba na rehema, angali muda upo. Inawezekana umemkosea Mungu sana, na leo unatamani kujua kama ipo njia ya kumrudia yeye tena, inawezekana, umeua, au…
Bwana Yesu asifiwe..karibu tujifunze Biblia. Leo tutajifunza kwa kifupi mojawapo ya njia Mungu anazotumia kutuharakisha kwenda kwenye mafanikio yetu. Kitu kimoja kinachotuzuia wengi wetu kusonga mbele ni HOFU…Chochote kile mtu…
Tunapaswa tujue, hichi kipindi tulichopo sasa ni kipindi gani, na hicho kinachokuja mbele yetu pia kitakuwa ni kipindi gani. Kwa ufupi ni kwamba Kristo sasa yupo mbinguni ameketi katika kiti…
Wafilisti ni watu gani? Wafilisti ni watu walioishi kaanani ambao waliokuwa maadui wakubwa sana wa Israeli enzi za agano la Kale. Hawa walikuwa ni kundi mojawapo la wenyewe wa nchi…