Ni kanuni gani ya kuzingatia wakati wa kuhubiri/kufundisha ili usimzimishe Roho?. Kuna vita vikubwa sana vya kiroho vinavyoinuka muda mchache kabla ya kusimama kufundisha/kuhubiri ambavyo ni lazima mkristo avijue na…
Neno hili utalipata katika vifungu hivi kwenye biblia. Ezra 2:63 Na huyo Tirshatha akawaambia wasile katika vitu vitakatifu sana ,hata atakaposimama kuhani mwenye urimu na Thumimu. Nehemia 8:9 Naye Nehemia,…
SWALI: Nini maana ya Neno hili; Mithali 22:29 “Je! Wamwona mtu mwenye bidii katika kazi zake? Huyo atasimama mbele ya wafalme; Hatasimama mbele ya watu wasio na cheo”. JIBU: Neno…
Jinsi ya kuandaa mahubiri ya kufundisha kanisani au kwenye semina. Jinsi ya kuandaa mahubiri ya kufundisha kanisani au katika ibada. Zifuatazo ni dondoo chache zitakazoweza kukusaidia katika kuandaa Somo ambalo…
Mstari mfupi zaidi kwenye biblia ni upi? na umebeba ujumbe gani? Mistari inatofautiana urefu kulingana na lugha na lugha.. Mstari unaoonekana mfupi katika lugha ya moja unapotafsiriwa katika lugha nyingine…
Katika biblia Miimo ni nini na kizingiti ni nini? Jibu: Miimo ni nguzo mbili za mlango zinazosimama upande wa kuume na wa kushoto mwa mlango. Mfano wa hiyo ni ile…
SWALI: Biblia inamaana gani inaposema tutoapo unabii tutoe kwa kadiri ya imani?(Warumi 12:6) JIBU: Neno hilo utalipata katika vifungu hivi; Warumi 12:5 Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili…
Swali: Ni hofu gani inazungumziwa katika Zaburi 4:4? Jibu: Turejee, Zaburi 4:4 “Mwe na hofu wala msitende dhambi, Tafakarini vitandani mwenu na kutulia, 5 Toeni dhabihu za haki, Na kumtumaini…
SWALI: mnamfanya kuwa mwana wa jehanum mara mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe.(Mathayo 23:15) Mathayo 23:15 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnazunguka katika bahari na nchi kavu ili…
Je biblia inatufundisha wakristo kuwa na desturi?. Jibu ni Ndio!, Biblia inatufundisha kuwa na desturi, ikiwa na maana kuwa desturi ina nyongeza kubwa sana katika Imani ya mkristo. Sasa desturi…